10 Nukuu za chuki.

10 Nukuu za chuki. Karibu katika pande huu wa middemb ambapo Leo utazipata Nukuu kumi za chuki au kwa kingereza inatajwa quotes of hate. Ikikupendeza mno tafadhali usiogope kuwaonyesha wenzako kurasa yetu ya middemb.
- Chuki au upendo si kitu ni matokeo. Chuki ni matokeo ya kukosekana kwa upendo, na upendo ni matokeo ya kukosekana kwa chuki.
- Has caused alot of problems in this world, but has not solved one yet.
- Maisha ni fupi sana kuchukia.
- Chuki ni nzito, achana nayo.
- Envy me hate me rate me, the bottom line is you ain’t me.
- Maisha ni fupi sana kuchukia mtu.
- I hate rarely though when I hate, I hate murderously.
- I hate that I’m still hoping.
- I don’t hate you. I just lost the respect for you.
- Kwa Dunia imejaa chuki, kuwa upendo.
- I don’t have time to hate people who hate me, because I’m too busy loving the people who love me.