51 sheng quotes and sayings to check out.

51 sheng quotes and sayings to check out. Hi and welcome to our page. Check out some of the best sheng quotes and sayings said by people about sheng or even said in sheng.

Even though we have some of the best sheng captions, jokes and memes which are so hilarious and also can try to relate and laugh some of a normal mwananchi goes through life in this beloved city called kanairo. As you scroll down enjoy your time with some of the best funny sheng jokes to check out. Enjoy.

Sheng quotes.

 • Ukipeleka sheng Yako ya Nairobi kwa hoteli za coast utakufa njaa.
 • So funny our Kenyan parents especially in Nairobi forcing kids to speak English with a fake British accent only the children to embarrass them speaking sheng.
 • Nairobi lugha ya taifa ni sheng. Hii achia embassy.
 • Nairobi kila mtaa hukua na sheng yake.
 • Unakaa Nairobi kidogo ushakuwa mtu wa sheng hehe.
 • In Nairobi juo is a sheng’ word for juice but in eldoret is a sheng’ word for school.
 • I used to speak in “sheng” to understand Nairobi people. Bora kuelewa.
 • Hii sheng ni ya Nairobi.
 • Nairobi hatukufanikiwa kupara kiswahili sheng Ina run the city.
 • Kwanza ilipata ukimwi na gonoria Nairobi baada ya kuenda sleep over kwa sheng kila weekend.

Kenyan sheng jokes to tell a girl.

 • Mapenzi is just a nickname , the real name is Mpesa.
 • Statistics za banks zinashow men withdraw alot on Fridays, and madem wanadeposit alot on Mondays.
 • Nilimuuliza kwao ni wapi akanishow ni Runda… Kumbe ni Zimmerman ndani.
 • Watu hulia on voice notes utafanya Nini kama update hukuirecord.
 • Bae wako pahali Yuko anaulizwa stori kukuhusu anasema ‘achana na huyo maisha yake ni ngumu.
 • Uko single alafu panya inakuja kwako inaanzisha familia mbele yako.
 • Nimeenda kumsalimia Kwa job Yao akajifanya hanijui. Wow! My girlfriend is so professional.
 • Hii Nairobi unawachwa alafu unaambiwa, promise me you’ll be fine.
 • Stop disturbing us with breakup quotes, when he brought you pizza did you give us.
 • Ati mko in love na mnakutana once a week kama PE.

Sheng captions.

 • Ni God aje na unauza bangi jameni.
 • Stay Taliban.
 • Nikikuuliza penye uko doesn’t mean I miss you.
 • Sina pesa Kwa Mpesa
 • Nataka nilale mapema kama nyuki ndio kesho niamke asali as possible.
 • Piga ninja nikupee mia sai.
 • Huwezi jiita baby girl na unavaa kiatu size 20. Wewe ni fundi.
 • Ama ndevu ni mizizi ya meno.
 • Utamu wa kulipa rent ni kuvutana landlord.
 • Sijui nikuite illegal structure ju ya vile nada kukubomoa.
 • Mlisema kanisa itajengwa na kina Nani.

Funny sheng jokes.


 • Nimejitumia pesa na sim2 alafu nikaji text ” babe nimekutumia pesa”. Spoil yourself. I am soo emoshonoo.
 • Sikatai maisha ni ngumu lakini why uniuzie samosa za cabbage.
 • Ukija sleep over tulia. Acha maswali mob ati mbona bedsheets niza thika level 5 hospital na towel imeandikwa shiro joy.
 • Gone are the days when ungeokota doh chini.
 • Single room unaamka unaona umefika.
 • Once umejua kusoma, interst za kusoma inaisha.
 • Pork ni ya matajiri we unakula ngururuwe.
 • KwaninI ukipoteza simu unaipigia ili ndo muongee Nini na huyo mwizi.
 • The problem with this country is that you meet your soulmate after getting married.
 • Msichana mrembo ila kiherere ni ya auto correction.

Funny sheng memes.

 • Ukiona umeanza kuandika ” according to me” Kwa exam, Jua kichwa yako Iko offside.
 • Ukiangalia hao mabeshte wako unaona kama kuna harusi utaenda kweli.
 • MAnzi wangu amejam for the love bite I gave myself Kwa shingo yangu. SHINGO YANGU!.
 • Itisha to Gilbeys sweety, utapata diabetes Bure juu ya sukari ya guarana trying to play wifey na hatakuoa.
 • Mimi nae kusumbuliwa kichwa ndio sipendi… Hautanikula the wrong head by the way.
 • Don’t postpone enjoyment, nyama choma kilo na beer haiwezi Jenga nyumba. Kula bana.
 • Unaona beshte yako anafungua boutique after one month Ako na gari na anaenda Dubai. Wewe innocently unafungua yako after one on month unarudi ocha.
 • Kila kitu tamu Huwa katikati. Ata pesa Iko central bank.
 • Na Monday wakenya mnakuaga na hasira ingine unnecessary sana.
 • Imagine kudate dame anaeza chinja mbuzi.

Similar Posts