10 Sms za asubuhi – middemb

” kunijali MTU rahisi, lakini kumfanya mtu akujali ni vigumu, nashangaa umewezaje kunifanya nikujali.?”
Nakutakia asubuhi njema na siku njema na siku yenye baraka…
SMS.
Ukipata anaekujali heri ukatulie nae hata kama hana Mali riziki mungu ndo atoae.
SMS
Asubuhi njema
SMS
Nakutakia mafanikio mema ya kila aina; nakutakia afya njema ta mwili kama ulivyo nayo rohoni.”
SMS.
Jambo lolote lililozuri , ikiwa una nafasi ama muda wakulitenda litende ; usingoje kesho maana ya kesho hauyajui.
SMS
Kama jicho langu halijakuona basi moyoni daima nakumbuka na ikiwa dua zangu hazijakulinda basis mungu daima atakulinda, nami sina budi kukutakia usiku mwema.
SMS.
Asubuhi ni nafasi mpya ya kuzifanya ndoto zako kuwa dhahiri.. Fursa mpya, mipango mipya …. Huja katika fikra asubuhi…
SMS.
Habari za asubuhi marafiki.
SMS
Ni nani nimpe moyo wangu ajuae thamani ya neno.
SMS.
Good morning babe!.
SMS.
Habari za asubuhi.
SMS.
Asante yesu kwa kuniwezeha kuiona siku hii ya Leo.
SMS.