Ukiwaendekeza walimwengu Kila siku utauguli matching Bora umuamini mungu anakupa lako fungu.

Aloniumba hajanikosea Na alonipenda amenichagua kazi kwao wewe usojitambua.

Nitafute wakati una huzuni, nitafute wakati hamna wa kukusikiliza. Sijali kama mimi ni kimbilio lako la mwisho, bali sipendi ulie peke yako.

Maumivu hufanya mtu abadilike. Akibadilika Kila kitu kinabadilika pia.

Ningekua ndege kuna watu ningewanyea Kila siku.

Dunia imejaa maadui waliovaa sura za kirafiki..

Hata ukinichukia hawezi kunifanya nice mchungu, anenipenda ndiye anaejua utamu wangu.

Kila changamoto inayokuumiza , inakufundisha kuwa Bora zaidi ya ulivyokua.

Usiogope yote ni ya Dunia.

Kila asoiona thamani yangu ipo siku atakumbuka wema wangu.