10 sms za kutia moyo.

Jifunze kubaki kimya. Sio Kila kitu kinahitaji majibu.

Sms za kutia moyo.

Mtu anapokua katika kukata tamaa anaweza kufanya maamuzi yasiyo sahihi.

Sms za kutia moyo.

La uchungu halisahauliki.

Sms za kutia moyo.

Ikiwa unapitia mitihani migumu katika maisha halafu ukahisi mwenyezi mungu yupo kimya, kumbuka; mwalimu Huwa kimya pindi akiwa anasimamia mitihani. Usiogope

Sms za kutia moyo.

Ni dhambi kumliza kumtesa anayekumpenda kwa dhati.

Sms za kutia moyo

Heri ukose pesa mfukoni kuliko kukosa raha moyoni.

Sms za kutia moyo

Maumivu hufanya mtu abadilike Kila kitu kinabadilika pia.

Sms za kutia moyo.

One day everything will be okay.

Sms za kutia moyo

Dear God, today I woke up early. I am healthy. I am alive. I am saved! Thank you.

Sms za kutia moyo

Jifunze kukosa dhahabu hata kama ipo katika matope.

Sms za kutia moyo.

Ningekua ndege kuna watu ningewanyea Kila siku

Sms za kutia moyo.

Ni vizuri kusahau jambo lilioumiza moyo wako lakini ni

Vizuri zaidi kukimbia ulichojifunza kwenye jambo hilo

Sms za kutia moyo.