12 nukuu za maisha. Karibuni sana katika kurasa hii ya middemb ambapo utayaona nukuu kumi za maisha. Nuku hizi zitakusaidia sana na kujiangialia wewe binafsi maisha Yako ni I unataka kuwa au unataka nini katika maisha hii.
Kama maneno haya yamekufurahisha sana usisahau kuwaonyesha wenzako maneno hizi Ili pia wafaidike. Muwe na siju njema na mungu awabariki.
- Kama unafanya kama wengine, maisha Yako yatakuea sawa na ya wengine.
- Kitu Cha kwanza kufanya kama umeamua kuficha ukweli wape watu ukweli mwingine kulinda thanani ya utu wako.
- Kama zana prkee uliyonayo ni nyundo, unazoea kuona kila tatizo kama msumari.
- Jifunze kuiona dhahabu kama ipo katika matope.
- Jifunze kubaki kimya. Sio kila kitu kinahitaji majibu.
- Unajua watu wanaongea mengi sana, me huwa nakaa alafu nawaangalia wanachofanya.
- JIfunze kufikiri peke Yako na kufanya maamuzi mwenyewe.
- Mafanikio makubwa hayafikiwi kwa kutokuanguka/ kushindwa Bali ni kusimama kila tuangukapo.
- Yeyote anayeogopa maisha atateseka tayari anateseka kwa kuyaogopa.
- Huwezi kumsaidia kila mtu, Lakini kila mtu anaweza kumsaidia mtu.
- Maisha ni kile kinachokutatiza wakati unapangilia mikakati Yako.
- Upo hai kwasababu mungu ana Kazi na wewe.