12 nukuu za maisha.

12 nukuu za maisha. Karibuni sana katika kurasa hii ya middemb ambapo utayaona nukuu kumi za maisha. Nuku hizi zitakusaidia sana na kujiangialia wewe binafsi maisha Yako ni I unataka kuwa au unataka nini katika maisha hii.

Kama maneno haya yamekufurahisha sana usisahau kuwaonyesha wenzako maneno hizi Ili pia wafaidike. Muwe na siju njema na mungu awabariki.

  • Kama unafanya kama wengine, maisha Yako yatakuea sawa na ya wengine.
  • Kitu Cha kwanza kufanya kama umeamua kuficha ukweli wape watu ukweli mwingine kulinda thanani ya utu wako.
  • Kama zana prkee uliyonayo ni nyundo, unazoea kuona kila tatizo kama msumari.
  • Jifunze kuiona dhahabu kama ipo katika matope.
  • Jifunze kubaki kimya. Sio kila kitu kinahitaji majibu.
  • Unajua watu wanaongea mengi sana, me huwa nakaa alafu nawaangalia wanachofanya.
  • JIfunze kufikiri peke Yako na kufanya maamuzi mwenyewe.
  • Mafanikio makubwa hayafikiwi kwa kutokuanguka/ kushindwa Bali ni kusimama kila tuangukapo.
  • Yeyote anayeogopa maisha atateseka tayari anateseka kwa kuyaogopa.
  • Huwezi kumsaidia kila mtu, Lakini kila mtu anaweza kumsaidia mtu.
  • Maisha ni kile kinachokutatiza wakati unapangilia mikakati Yako.
  • Upo hai kwasababu mungu ana Kazi na wewe.

Similar Posts