15 Bible verses swahili for you.

EVERYTHING ON JUMIA

15 Bible verses swahili for you.

https://unsplash.com/photos/9CMUPez8wLo?utm_source=unsplash&utm_medium=referral&utm_content=creditShareLink

Hi and welcome tour page where today you are going some of the best and motivating swahili bible verses for you. Lucky you who understands swahili cause you are going to get blessed from some of them.

“ Pitieni milango ya hekalu lake kwa shukrani, ingieni katika nyua zake kwa sifa. Mshukuruuni na kulisifu jina lake. Mwenyezi – mungu ni mwema; fadhili zake zadumu milele, na uaminifu wake katika vizazi vyote.” – Zaburi 100:4 – 5.

“ Kwa hiyo nawaambieni, mnaposali na kuomba kitu, aminini kwmba mmekipokea, nanyi mtapewa.” – Marko 11:24.

“ Chuma hunoa chuma, kadhalika mtu  hufundishwa na wenzake.” – Methali 27:17.

“ Yesu akamwambia,“ kweli nakuambia, mtu asipozaliwa tena hataweza kuuona ufalme wa mungu .” – Yohane 3:3.

“ Heri mwenye moyo safi, maana watamwona mungu.” – Mathayo 5:8

“ Mwenyezi – mungu awajalieni muongezeke; nyinyi na wazawa wenu!.” – Zaburi 119:14.

“ Yeye huwapa uwezo walio hafifu, wanyonge huwapa nguvu.” – isaya 40: 29.

“ Bwana atawaongoza daima.” – Isaya 58:11.

“ kwa maana roho tuliyopewa na mungu , si wa kutufanya tuwe wanga; sivyo, ila ni roho wa kutujalia upendo na nidhamu.” – 2 Timotheo 1:7.

“ Nawapea amri mpya: pendaneni; pendaneni kama nilivyopenda nyinyi.” – Yohana 13:34.

“ Fanya wengine kama vile ungetaka wafanye kwako.” – luka 6:31.

“ Mtumaini bwana kwa moyo wako wote, wala usitegemee ufahamu wako mwenyewe; Katika njia zako zote mtambue, naye atazielekeza njia zako.” – Mithali 3:5-6.

“ Dunia yote imshangilie mwenyezi-mungu; imsifu kwa nyimbo na vigelegele. Msifuni mwenezi-Nubgu kwa shangwe, msifuni kwa sauti tamu za zeze. Mpiegieni vigelegele mwenyezi-mungu wa mfalme wetu, mshangilieni kwa tarumbeta na sauti ya baragumu.”

–         Zaburi 98:4-6.

“Kuhubiri neno; kuwa tayari kwa msimu na nje ya msimu; sahihisha. Onya na kutia moyo – kwa uvumilivu mwingi na maagizo makini.” – 2 timotheo 4:2.

“Hata nikikosa nguvu mwilini na rohoni, wewe, ee Mungu, u mwalimu wangu; riziki yangu kuu ni wewe milele.” – zaburi 73:26.

Asante sana na ubarikiwe. Thank you so much of your visit may you be blessed.

for more check out https://middemb.com/10-best-kenya-valentines-gift-for-her/

Similar Posts