18 misemo ya wahenga.
Kuna misemo nyingi mbalimbali hutumika kama methali ambapo hutusadia kuelewa maisha na kuelewa pia namna za binadamu. Misemi hizi yatulinda sisi ili tuwe sawa katika jambo fulani yeyote. Misemo hizi pia hutumika katika insha kwa kuandika insha yeyote kwa kutumia kama mfano ndi myu aelewe maana zaidi.
Tuna misemo kadha unaweza kuwa umawahi kuiona au umewahi kuskia kutoka labda kwa ma bibi au ma babu zetu. Maneno haya yametumika na wahenga au waheguzi kwa vile walikuwa na maneno ya hekima na pia za heshima kataika maisha ya binadamu. Chini yako kuna misemo kumi na nane ambapo pia unaweza kuonyesha wenzako ukiyatumia kurasa hii wa middemb.
Misemo 18 ya wahenga.
Chini yafuatayo ni misemo kumi na minane tumeyapata na pia unaweza kumbuka maana zake. Zingine yanatumika katika methali na pia kwa kuandika insha yoyote ile mwanafunzi au mwandishi anaweza penda kuitumia.
- Akutukanae hukuchagulii tusi.
- Kumchukia mwenzako ni sawa kumtemea mate juu lazima ikurudie.
- Abebwaye hujikaza.
- Anguaye huanguliwa.
- Asiyeskia la mkuu huvunjika guu.
- Adhahabu ya kaburi aijuae maiti.
- Adui aangukapo mnyanyue.
- Ikiwa una sili, watu watakaa kidogo kaburi.
- Kila mtu ana doa lake mahali fulani.
- Akili ni mali.
- Akifaye kisogo si mwenzio.
- Akili nyingi huondoa maarifa.
- Afadhali ya musa kuliko ferauni.
- Alisifuye jua… limemuangaza.
- Akufahaye kwa thiki ndie rafiki.
- Akutendaye mtende mche Asiye kutenda.
- Ukipenda chongo huita kengelo.
- Akufanyaye ubaya mlipe kwa wema.
Haya ni machache, ukiwa una misemo tafadhali comment katika chini wa kurasa huu. uwe na siku njema na mungu akubariki.
