20 quotes za kiswahili

20 quotes za kiswahili na kiswahili za maisha. check out some of the best quotes za kiswahili na quotes za kiswahili za maisha. To learn a litlle bit of life or as may say it in swahili maisha. To get you day going below are some of the best quotes za kiswahili.

quotes za kiswahili za maisha.

  • Hakuna awezaye kuikimbia hadithi ya maisha yake.
  • Maumivu hufanya mtu abadilike. Akibadilka kila kitu kinabadilika pia.
  • Kama mungu anakufanya usubiri. Jiandie kupokea zaidi ya kile ukichokiomba.
  • Mungu hutumia majaribu makubwa katika maisha yetu kutukomaza na kutukamilisha. Kitu kisichokuwa hukufanya mpiganaji.
  • Hakuna awezaye kukimbia hadithi ya maisha yake.
  • Kila jambo na wakati wake.
  • Umoja ni nguvu: utengano ni udhaifu.
  • Hoja inamuimarisha mtoa hoja, na kumjenga mpokea hoja.
  • Dua la kuku halimpati mwewe.
  • kuzaliwa kwako ni jibu la MUNGU juu ya uhitaji uliopo katika kizazi chako: hivyo mpe nafasi ya kwanza MUNGU.
  • he

quotes za kiswahili.

  • keep calm and hakuna matata.
  • siri ya bahari mulize mvuvi.
  • mpanda hila huvuna majuto.
  • huwezi jua dhamani ya jana moka iitwe majuto, dhamini leo, ili kesho isiitwe majuto.
  • Asiyekupenda hana alama akishakutenda ndo utaisoma.
  • Huwezi kuwa mtu wa milioni kama wewe ni mtu wa sababu nyingi. Badilika.
  • Ukitafuta heshima kwa gharama utalipwa dharau kwa bei nafuu…upo.
  • Kama unafanya maisha kama wengine maisha yako yatakuwa sawa kama wengine.
  • Mikono ya mama inafariji kuliko ya mtu mwingine.
  • Kuna muda unatakiwa kuwa na roho ya kikatili ili kujenga heshima.

Similar Posts