22 misemo ya maisha

Jifunze kuiona dhahabu hata kama ipo katika matope.

Misemo ya maisha.

Maumivu hufanya mtu abadilike. Akibadilika kila kitu kinabadilika pia.

Misemo ya maisha.

Na filamu ya maisha yangu jambi la kushanga za katili nafsi yangu… Na maanisha nini kila jambo linalo kutatiza na ukashindwa kulitafuta ufumbuzi basi wewe ndio tatizo, wewe ndio uadi wa mafanikio Yako.

Misemo ya maisha.

Usimtegemee sana mtu ndani ya Dunia hii kwa sababu hata kivuli chako mwenyewe kina kuacha unapokuwa gizani.”

Misemo ya maisha.

Ukifikia hatua ambapo maneno ya watu hayakunyimi usingizi, jua umekua.

Misemo ya maisha.

Mtu hata badili maisha yake kama hakuanza na kubadiri fikira zake.

Misemo ya maisha.

Jifunze kubaki kimya. Sio kila kitu kinahitaji majibu.

Misemo ya maisha.

Ni Bora kulia kwa muda baada ya kuvunja mahusiano kuliko kulia kila siku kwa kulazimisha mahusiano yasiyokufaa utateseka sana.

Misemo ya maisha.

Wema tunaofanya Leo huwa furaha ya kesho.

Misemo ya maisha.

Jifunze kuiona dhahabu hata kama ipo katika matope.

Misemo ya maisha.

Huchukua miaka mingi kuujenga uaminifu kwa watu lakini huchukua sekunde kuvunja uaminifu huo… Ilinde thanani Yako… Utaaminika.

Misemo ya maisha.

Mafanikio makubwa hayafikiwi kwa kutokuanguka kushindwa, Bali ni kusimama kila tuangukapo.

Misemo ya maisha.

Afya Yako ni Bora kuliko hata hiyo message unayo isubira lala you wewe Binti sayuni.

Misemo ya maisha.

Njia pekee ya kufanya Kazi nzuri ni kupenda Kazi Yako kama hujapata Kazi unayoipenda, endelea kulitafuta . Usiridhike.

Misemo ya maisha.

Upo hai kwasababu mungu ana Kazi na wewe.

Misemo ya maisha.

Katika maisha usiogope kumpoteza mtu ambaye unahisi hafurahii kuwa karibu na wewe.

Misemo ya maisha.

Kuachwa na mwanamke mpenda pesa ni sawa na kumaliza deni la mkopo benki.

Misemo ya maisha.

Wadada hivi mnajua tukiwasindikizanga usiku wa manane huwa tunarudi tukikimbia huku tukiwa tumeshika mawe.

Misemo ya maisha.

Epuka Sana kuongea maneno makali ukiwa na hasira. Kwani elewa kuwa, hasira zitaisha ila maneno makali uliyoongea yatabakia.

Misemo ya maisha.

Walimwengu hawana utu, vuta subira usigombane na kila mtu.

Misemo ya maisha.

Yeyote anayeogopa maisha atateseka, tayari anateseka kwa kuogopa.

Misemo ya maisha.

Usimlilie mtu aliyekutupa, itafika siku yeye atakulilia kwanini alikutupa??.