25 nukuu za hekima.

25 nukuu za hekima. Hello na karibu katika kurasa huu wa middemb ambapo leo tutayaona nukuu ishirini na tano ambazo zitakusadia sana maishani mwako na pia za wenzako walio karibu na wewe.

Nukuu hizi usyatupulie mbali, haya maneno nu muhimu sana na pia unafanya wewe mwemyewe uelewe zaidi kuhusu maisha. Chini hapa , ndio 25 nukuu za maisha na uwe na siku njema.

 • maskini hana hoja ana haja.
 • mtu mwema hachoki kutenda mema akichoka ujue alikuwa anajaribu kuwa mtu mwema.
 • Tajiri anakopa hata akiwa na pesa lakini maskini anakopa akiishiwa pesa.
 • deni haliozagi linachakaa tu.
 • kuna tabasamu ambalo hutakiwimmpa mtu yeyote isipokuwa mumeo.
 • Usimlaumu mtu ambaye alisha wai fanya uwe na furaha jana.
 • Mafanikio yako ni kioo cha kufeli kwao.
 • Ukimlisha chakula mtu mwenye njaa anakuona kama malaika.
 • whatever is good for the soul do that.
 • Najua mubgu ana mpango nami, ntaomba kwa ajili ya kuufuata, kuvumilia na kusubiri, na maarifa ya kutambua wakati linapotuukia.
 • kufanya kos huku ukijua ni kosa ni kujiombea jela mwenyewe.
 • Huwenda kesho ikawa bora kuliko leo.
 • Anayeshinda kuongea wewe mshinde kwa kukaa kimya.
 • Usikae kwa kitanda isipokuwa unatengeneza pesa kitandani.
 • ukiwa unafanya unachokijua kila siku basi jua kuwa unapoteza muda wa kujifunza usichokijua.
 • siku njema huonekana asubuhi.
 • hekima ni ufunguo wa kufanya maamuzi mema kulingana na msingi wa maarifa ya bibilia.
 • If you ever think about giving up, just remember why you held on for so long.
 • wakati wao wanagombania nyama wewe nenda ukamchinje ng’ombe mwengine.
 • Heshima hujengwa kwa hekima , haijengwi kwa misuli.
 • Hekima ya baba huonekana kwa mtoto.
 • shinda hasira ndani ya moyo wako kwa silaha ya furaha.
 • ikiwa bado upo uhai namafanikio yako yanaishi bado.
 • Maisha ni kitu cha ajabu kuliko vyote.
 • Kuwaonyesha matokeo huwa inatosha zaidi kuliko kuwaonesha mipango.
BLACK FRIDAY DEFACTO DEALS

Similar Posts