25 quotes za vichekesho.

25 quotes za vichekesho. Foe the need to laugh to make your day, we have some vichekesho quotes to make your day. There are some of the best funny vichekesho quotes to come across. So stress yourself so much cause today you are going to see these quotes or even said memes.

even you will find them in swahili form. so for those who understand swahili this could be for you to make your ribs crack. So below are the vichekesho quotes to find, hope you like it and feel free to share it with the peiople you care about. Like friends and family. Enjoy.

  • Unakula chipsi na mishikaki peke yako kwenye basi alafu unaniuliza ni saa ngapi? ni saa saba asubuhi.
  • Bro kama demu wako hajawahi kukuomba hela akale chipsi mayai jiongeze unaibiwa.
  • Simu unayotumia sasa hivi ubambiwa upewe laki moja utashukuru au ni matusi?.
  • Hii mvua haitaki ujinga imeangusha 1st and 2nd corinthians.
  • Kila siku kuachwa kuachwa nirudi zangu kwa mama mie.
  • we unajua uchungu nini wewe unajua uchungu ya orphan.
  • Huna hela halafu unanyanyua chuma, unatafuta kifua kikuu.
  • lakini juu hakuna pesa unaitishwa unaamua kunywa tu maji utoke juu huezi angusha mamorio.
  • Utaskia myu oooh! mimi nikifika nikazikwe moshi….. Nauli umeacha!!?
  • Mpaka ukaleta nduthi iniburudishe.
  • MJukuu wangu hakuna mwanamke Afrika atakae chagua six packs akaacha six cars, acha fanya kazi mjukuu wangu.
  • Pale mama yako anampiga dada ako lakini anaefuata kuchezea kichapo ni wewe apo unaamua kuatfuta shughuli ambaoyo hujaambiwa kufanya….!!!.
  • Mchumba ansomeshwa cherehani tu.
  • Unapatana na slay queen , Unajaribu kumuongelesha kizungu, kizungu inakulemea, unameza ulimi, unakufa.
  • Ukiwa mweusi unaweza kuwa mweupe ukiwa mnene unaweza kuwa mwembamba lakini ukiwa mfupi limeisha hiloo.
  • Hakuna kitu kibaya kama kumuona mpenzi wako anamkiss mtu mwingine mbaya zaidi huna la kufanya maana yule ndio mke wake halali.
  • Vile mimi huwachekesha na memes hakuna mtu ashai fikiri kuchekesha mpesa yangu na kakitu.
  • Nyumba za kupanga siku za weekend huwa ni mashindano ya nani yupo nasubwoofer yenye mdundo mkubwa, na spidi ya kufua kabla kamba hazijajaa.
  • Hakuna watu hawapo romantic kwenye mapenzi kama madokfa na manesi wewe utamtazama kwa jicho la mahaba, utamsikia una malaria au pepopunda imekupanda kichwani?
  • Unatafuta future wife wakati huna future plans utachokipata ni future knife.
  • Tukiwa primary tukiomba ruhusa ya kwenda choo ety…. mchuzi mix me teacher, mayai go out?….. na unatoka ukibounce eti umeobgea ile english safi ya oxford dictionary….
  • If you are dating any woman you know won’t marry, let her go, you are holding someone’s wife hostage. My brother that’s a criminal offence.
  • Ati unataka nikuweke status alafu meme niwekw wapi?.
  • Leo unaoga ama utalal tu kama jana?.
  • Welcome to kenya where you lend your friend money, and you end up losing both your cash and a friend.
  • Watu weusi tukipewa mabawa tutakuwa kama kunguru.
BLACK FRIDAY DEFACTO DEALS

Similar Posts