32 mistari Kali ya sheng na kukatia manzi.

32 mistari Kali ya sheng na kukatia manzi. Pia inaweza kuitumia mistari Kali ya kiswahili , kukatia Dem aingie box ,love mistari , best sheng mistari, kukatia Dem in sheng.

Mistaris are almost similar to pick upnes which you can use to try your shot on someone. It somehow tricky to think of pickup lines especially when you try it to put in sheng or even Swahili.

We have some of the best mistari Kali ya sheng which you can use or even have a better idea of even creating some of your own.

Below are 21 of the Best mistari ya sheng or mistari Kali ya kukatia Dem. Hope you like it and feel free to share with your friends and the people you care about who you think might like to see this type of content.

Mistari Kali ya sheng au ya kukatia manzi.

 • Kwani ngozi yako ilitumika kufunga Paulo na sila …. Just no nyororo.
 • Unakaa makaa imepoa juu leo nakupepeta.
 • Kwani kwenu kunakuanga aje na viti mingi…. Juu unakaa fiti.
 • Naskianga wewe ni tsetse fly caus e ever since I saw you na sinzia nikikuwaza.
 • Kwani we ni zebra na hauna mistari.
 • Unakuanga credit za safaricom juu umeni Bamba.
 • Ningekuanga homework hamgewahi chapwa na mwalimu juu mngekuwa mnanimaliza.
 • Najua nikikuona sahii unafanananga na tripod, juu unanisimamisha.
 • Kwani budako anafanyanga safaricom juu Kuna vile umetunukiwa bana.
 • Nimekuwa nikikuangalia for long na nime notice hauna shingo juu nimekuwa nikikumezea mate.
 • Kwani unakuanga nyanya juu unakuanga umeniteka from my head to-ma-toes.
 • Kwani we ni shada juu I want you weed me.
 • Nifungulie kinyozi nikuwe baba ya watoto wako.
 • Unajua watu huku nje wananiitanga ng’ombe cause I have beef up your security.
 • Kwani wewe ni ngazi, juu Kuna venye nataka kukupanda.
 • Budako ni capenter, juu nikikuona Mii huu mbao.
 • Kwani we ni chupa… Juu Kuna vile nadai kukufungua.
 • Niliskia masako ni cheff juu umeiva kuliko lunch yetu nao za kukulia.
 • Kwani wewe ni chilli… Juu Kuna vile wewe Nim hot.
 • By any chance uko photography cause we can picture us together far far away.
 • I only wish to be your hangbang so I could always be beside you.
 • kwani we ni ndizi… juu you look a peeling.
 • Unajua wewe ni assigment juu nikukupatia I keep you busy.
 • we ni mlango… juu kuna vile nimekunoki.
 • Mimi nikikuagalia hivi unakaa mchezaji footballer sasa si ukam hivi you play with my balls.
 • Unajua mbona nilichagua mtaita juu the taita the better.
 • Are you a murder victim… cause my love for you is suicidal.
 • Huku inje maboy huuniita football player na we ndio referee… unajua mbona? juu after game mimi ndo hukupea ball.
 • If you could be a triangle i think you could be acute one.
 • Kwani wewe ni mkamba juu nikikuona hivi nimekaukiwa na maneno.
 • We ni ball juu naskia kukupepeta mbaya.
 • We ni bob?… juu wewe ni marley safi.

Related Posts