32 Nukuu za afya yatakusaidia kujiboresha.
Afya ni kitu muhimu katika maisha ya binadamu. Vile tunakula, tunaishi inchangisha afya yetu katika maishani. Tuna nukuu muhimu sana si ya sawhili tu lakini kwa kiingereza ambapo unonyesha umuhimuw wakuwa na afya njema usiwe na magonjwa yanayoweza kuitishia maisha yako.
Nukuu kama hizi waweza kuonyesha kwa wenzako na pia kuaelimisha ili kuonyesha kwa kuwa unawajali watu wanaokupenda kama vile wewe uko na pia kuonyesha unawapenda vile vile na hatutaki wapoteze maisha yao kwa kusishi maisha yasiyo na afya bora.
Nukuu za afya.
Chini yako kuna nukuu za afya ambayo pia unaweza kuonyesha kwa wenzako. Tuna pia nukuu za afya kwa kingereza si mgumu sana kuyaelewa. Ukiwa una rafiki unataka kuonyesha mwenzako nukuu hizi tafadhali uwaonyeshe na pia uwajalishe umuhimu wa afya bora, kwa kweli afya bora pia huleta maisha ya furaha.
- Si mapema sana au kuchelewa sana wewe kukuwa na afya bora.
- Tengeneza mazoea ya afya njema bila vikwazo.
- Afya si mambo yakuhusu uzito, ni mambo yakuhusu maisha unayofaidi.
- Afya ya inje huanza na afya ya ndani.
- Uwekezaji bora unayoweza jifanyia ni afya yako.
- Kila saa ukikula ni fursa yaku lisha mwili wako.
- Utajiri kubwa zaidi ni Afya.
- Afya ni kama pesa, hatuna wazo kweli ya thamani yake mpaka uipoteze.
- Afya si Ukubwa wake ni mtindo wa maisha.
- Msingi bora wa furahai ni Afya nzuri.
- Jenga Afya ya kiakili cha lazima.
- Mwenye ana furahia afya nzuri ni tajiri, ni vile yeye hajui.
- Afya yako ni uwekezaji si gharama.
- IKikuja kwa afya ya kimataifa hakuna wao ni sisi pekee.
- Kama elimu, Huduma wa afya ni lazima ipewe maana.
Nukuu za afya kwa kingereza.
- Its never too early or too late to work towards being the healthiest you.
- Create healthy habits not restrictions.
- The first wealth is health.
- Be the best version of you.
- Take care of your body it’s the only place you have to live.
- Health is a relationship between you and your body.
- The best investment you can ever make is in your own health.
- Every time you eat is an opportunity to nourish your body.
- Think positively, exercise daily, eat healthy, work hard, stay strong, worry less, dance more, love often, be happy.
- Be patient with yourself as you evolve. Small healthy choices make a big difference in the long run.
- Healthy make it your habit.
- Health is like money, we never have a true idea of its value until we lose it.
- A healthy outside starts from the inside .
- healthy is not a size it is a lifestyle.
- The preservation of health is easier that the cure of the disease.
- The groundwork of all happiness is Good health.
- It is health that is real wealth and not pieces of gold and silver.