34 Mistari ya asubuhi na Asubuhi njema quotes.

Mistari ya asubuhi. Karibu Tena katika kurasa yetu ya middemb ambapo Leo ndipo utayaona mistari ya asubuhi ya kuonyesha mwenzako katika simu au rununu yako asubuhi ukiamka.

Ukiwa na rafiki wa dhati no umuhimu sana umjulie Hali yake. Ni vizuri sana kwani unaonyesha kuwa unamjali sana. Kwa kuwa kusema maneno kama si magumu mno kwani ni rahisi kama mboga. Unaweza kuitumia fikra yako kw kuitunga sentensi kama hizi Kwa sms zako.

Usikae tuu hivyo bila kujulia rafiki yako siku njema. Kwanza asubuhi ndio muhimu kwani hivo ndo mtu anaanza siku yake kabla ya kuenda kufanya vitu vyake Kwa siku hiyo. Chini yako ni mistari ya asubuhi unayoweza kuyatumia kujulia mwenzako. Uwe na siku njema.

1. Fikra kidogo kizuri Cha asubuhi yaweza badilisha siku yako nzima.

2. Roho yako ibarikiwe na siku yako Iwe ya furaha.

3. Chukua muda kufurahia vitu rahisi maishani… Habari za asubuhi, na uwe na siku njema.

4. Zaburi 5:3 Bwana, asubuhi utaiskia sauti yangu, asubuhi nitakupangia dua yangu na kutazamia.

5. Maombolezo 3:23 ni mpya kila siku asubuhi; uaminifu waki ni mkuu.

6. Waefeso 6:11 vaeni silaha zote za mungu, mpate kuweza kuzipinga hola za shetani.

7. Isaya 50:4 Bwana mungu amenipa ulimi wa hao wafundishwao, nipate kujua jinsi ya kumtegemeza Kwa maneno yeye aliyechoka, huniamsha asubuhi baada ya asubuhi; huniamsha, sikio langu lipate kusikia kama watu wafundishwao.

8. Isaya 43:3 Upitapo katika maji mengi nitakuwa pamoja nawe; na katika mito, haitakugharikisha; uendapo katika moto, hutateketea; wala mwali wa moto hautakuunguza.

9. Zaburi 42:3 machozi yangu yamekuwa chakula mchana na usiku, pindi wanaponiambia mchana na usiku, pindi wanaponiambia mchana kutwa, Yuko wapi mungu wako.

10. Zaburi 46:1-3 mungu kwetu sisi  ni kimbilio na nguvu , msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso. Kwa hiyo hatutaogopa ijapobadilika nchi, ijapotetemeka milima moyoni mwa bahari. Maji yake yajapovuma na kuumuka, ijapopepesuka milima Kwa kiburi chake.

11. Zaburi 86:3 wewe, Bwana, unifadhili, maana nakulilia wewe mchana kutwa.

12. Zaburi 32:8 Nitakufundisha na kukuonyesha njia utakayoiendea; nitakushauri, jicho langu likikutazama.

13. Isaya 41:10 Usiogope, Kwa maana Mimi ni pamoja nawe; usifadhaike, Kwa maana Mimi ni mungu wako; nitakutia nguvu, Naam, nitakusaidia, Naam, nitakushika Kwa mkono wa kuume wa haki yangu.

14. Wafilipi 4: 6-7. Msijisumbue Kwa neno lolote; Bali katika kils neno Kwa kusali na kuomba, pamoja na kushukuru, haha zenu na zijulikane na mungu.

15. Sefania 3:17 Bwana, mungu wako, Yu katikati yako shujas awezaye kuokoa ; atakushangilis Kwa furaha kuu, atakutuliza katika upendo wake, atakufurahia Kwa kuimba.

16. Yakobo 1:5 lakini mtu wa kwenu akipungukiwa na hekima, na aombe dua Kwa mungu, awapaye wore, Kwa ukarimu, wala hakemei; naye atapewa.

17. Warumi 12:2 wala msiifuatishe namna ya Dunia hii; Bali mgeuwe Kwa kufanywa upya Nia zenu, mpate kujua hakika mapenzi ya Mungu yaliyo  mema, ya kumpendeza, na ukamilifu.

18. Mathayo 34:6 Basi msisumbukike ya kesho; Kwa kuwa kesho itajisumbukis yemyewe. Yatosha Kwa siku  maovu yake.

19. 1 wathesalonike 5:11 basi, farijianeni na kujengana kila mtu na mwenzake, vile vile kama mnavyofanya.

20. Yoshua 1:9 je! Si Mimi niliyekuamuru? Uwe hodari na moyo  wa ushujaa; Usiogope wala usifadhaike; Kwa kuwa Bwana, mungu wako, Yu pamoja nawe kila uendako.

21. Mathayo 5:16  vivyo hivyo Nuru yenu na isngaze mbele ya watu, wapate kuyaona matendo yenu mema, wamtukuze baba yenu aliye mbinguni.

22. Mithali 18:10 jina la Bwana ni ngome imara; mwenye haki hukimbilia,akawa salama.

23. Mithali 3:5-6. Mtumaini Bwana Kwa moyo wako wote, wala usizitegemee akili zako mwenye.

24. 2 wakorintho 1:3-4 Na ahimidiwe mungu, baba wa Bwana wetu yesu kristo, baba wa rehema, Mungu wa faraja yote;
Atufarijiye katika dhiki zetu zote ili nasi tupate kuwafariji wale walio katika dhiki za namna zote, Kwa faraja hizo, tunazofarijiwa na mungu.

25. Zaburi 143:8 unifanye kusikia fadhili zako asubuhi, Kwa maana nimekutumaini wewe. Unijulishe njia nitakayoiendea, Kwa maana nakuinulia nafsi yangu.

26. Mathayo 6:33 Bali utafuteni kwanza ufalme wake, na haki yakr; na hayo yote mtazidishwa.

27. Wafilipi 4:13 Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu.

28. Zaburi 30:5 maana ghadhabu zake ni za kitambo kidogo, katika radhi yake mna uhai. Huenda kilio huja kukaa usiku,lakini asubuhi Huwa furaha.

29. 1 petero 5:7 huku mkimtwika yeye fadha zenu zote, Kwa maana yeye hujishughulisha sana Kwa mambo yenu.

30. Yohana 10:10 mwivi haji ila aibe na kuchinja na kuharibu; Mimi nalikuja ili wawe na uzima, Kisha wawe nao tele.

31. 2 Wakorintho 5:17 hata imekuwa, mtu akiwa ndani ya kristo amekuwa kiumbe kipya; ya kale yamepita tazama! Yamekuwa mapya.

32. 2 Timotheo 1:7 maana Mungu hakutupa roho ya woga, Bali ya nguvu na ya upendo na ya moyo wa kiasi.

33. Yeremia 29:11 maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi, asema Bwana, ni mawazo ya amani wala si ya mabaya, kuwapa ninyi tumaini siku zenu za mwisho.

34. Isaya 40:29 Huwapa nguvu wazimiao, humwongezea nguvu yeye asiyekuwa na uwezo.

Asubuhi njema quotes.

Kwa kuongezea, tuna asubuhi njema quotes au tuseme nukuu za asubuhi njema. Vile vile, tunaposema umjulie mwenzako Hali yake, tuna maneneo machache unaweza yatumia kumpigia ama kuandika meseji Kwa watu unawajli kama vile familia.

1. Siku njema huonekana asubuhi.

2. Sabaha alkheir nawatakia asubuhi yenye uzuri na baraka.

3. Asantee mungu Kwa kutuansha salama siku hii ya Leo. Tunaomba utuongeze Tena siku hii tuweze kuenda mema nq kukutii. Amina.

4.kuwa na asubuhi njema yenye mafanikio.

5. Kilio Cha weza kuwapo hata usiku, lakini asubuhi huja furaha

6. Nakutakia usiku mwema.

7. Anza siku yako Kwa kusoma kitu chanya na kuonyesha uso wa wa furaha.

8. Asantee yesu Kwa kuniwezesha kuiona siku hiii ya Leo.

9. Rehema na ama ni za Allah ziwe juu yenu wapenzi.

10. Nakutakia asubuhi njema na siku yenye baraka…

11. Siku ya Leo ni njema njema mikononi mwa mungu, mungu baba akuepushe na magonjwa ya kila aina akuepushe na maadui zako, ikiwezekana wakukimbie, na hatimae ibarikiwe, ukafanikiwe.

12. Siku ya leo kuwa na matumaini kwamba mungu Yuko kazini kukupigania.

BLACK FRIDAY DEFACTO DEALS

Similar Posts