40+ Mchongoano’s that will make your stomach hurt.

40+ Mchongoano’s that will make your stomach hurt. These reminds me of days that we used to be kids, back in primary school, where at break times there was always space and time for Mchongoano’s. Especially most of the time it was vs kids who were pros dominated in these Mchongoano’s, “wale wakali” to the point if you dare to challenge them, signs of balancing tears will show up on your face.

black happy woman with afro braids laughing
Photo by Anna Shvets on Pexels.com

Even they’ll leave you in silence, as the winner gets the biggest share of the laugh surrounded by your fellow dear friends and classmates. Even at home this game became popular. And some rules would be applied like, not involving parents or any relatives names in the mix. That was to make it fair since to avoid any kind of arguments and fights.

Even though Mchongoano’s have evolved in the present day, we still have to enjoy of it’s existence. As way to have some laughs in your spare time with friends, we have some of the funniest Mchongoano’s you could ever heard or think of. Some of them are very familiar to us. If you see one, please free to share with anyone to make them smile or laugh through the day. Remember. sharing is caring.

 1. Ati we ni mrefu hadi nyuma yenu ni convertable.
 2. Umenona mpaka shati yako inatumika kama tent.
 3. Ati we ni mrefu hadi miguu zina lala kwa jirani usiku.
 4. Kwenyu mko wengi hadi last born anaitwa enough is enough.
 5. Macho zako ni red hadi ukingalia nyama inaiva.
 6. Kichwa yaki ni ni big hadi ukifikiria tunaskiza echo.

7. Wewe umekonda sana kama kijiti za miraa.

8. Naskia kwenyu imejengwa na unga ya ugali hadi mwizi akikuja anasema fungua ama nikuje na sukuma.

9. Ukona ulimi inakaa duster ya nyumba.

10. Ukona matako red red kama nyanya za 5 bob.

Mchongoano’s kali.

1, Ati mamako ni mnono hadi akiingia kwa weighing machine inajiandika one at a time.

2. Una mdomo bigi hadi unakula ovacado kama njungu.

3. Naskia wewe ni dark hadi customer akiuliza makaa anasema niekee ile kubwa.

4. Wewe ni mweusi hadi umbu ikitaka kuku uma inaulizia torch.

5. We nimshot, ukikaa kwa pavement mguu zako zina hang.

6. Manzi yako ni mnono hadi akikaa na belt ya yellow, anakaa tuktuk.

7. Macho yako ni kubwa hadi iris yako inatambulika kuwa student.

8. kwenyu ni boys pekee hadi last born anaitwa nilijua tu.

9. Ukona dhambi mob hadi shetani anakuchongoa.

10. Wewe ni mweusi hadi we na giza mnafanana.

11. Wewe ni mrefu, ukicheza futa, ni machobo tu.

12. Wewe ni mjinga hadi ulifukuzwa shule ju ya kumeza makamasi.

13. Aty ume para para kama lami za ukambani.

14. Ukona kichwa bigi hadi huwezi funga bandana, unafunga mshipi.

15. We ni mnono hadi body yako ikona Mazgwembe.

16. Naskia mkono yako ni rough ukishika mouse, computer inashow found renewed hardware.

17. We ni fala, instead useme big brother unasema kakamega.

18. Dogi yenu imebeat hadi ikibark, lazima ijishikilie ukuta.

19. Ulikuwa na maskio biggy ukiwa mtoi hadi ukabebwa kama trophy.

20. Wewe ni mnono, ukikalia novel, we ni short story.

Top mchongoano’s.

 1. Manzi wako ni mweusi hadi hawezi kuwa na bright idea.
 2. Naskia we nimjinga hadi uli repeat kunyonya.
 3. Manzi wako amekonda hadi cunductor ansema , No hatubebi miwa.
 4. Naskia wewe ni mfupi hadi unabeba thao kama mabati.
 5. We ni mweusi mpaka damu zako ina succulet na torch.
 6. Kwenu ni chafu mpaka mende zinafaa slippers.
 7. Naskia we ni mgaidi, ukiwa na 10 bob moi anabaki na vest pekee.
 8. Mother yako ni mnono akivaa nguo ya yellow anafanana na taxi.
 9. Manzi yako akona haga ndogo hadi akinyamba anasonga mbele.
 10. Naskia kwenyu mumesota wezi wakikam wanatoka experience.
 11. Naskia macho zako ni big, maboi wako wanakuita eye witness.
 12. Naskia nyinyi mumesota mpaka mnapika chapo side moja.
 13. Naskia wewe huishi mbali by the time ufike chuo ni second term.

Related Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published.