40+mchongoanos kali that will make your stomach hurt.
40+ mchongoanos that will make your stomach hurt. These reminds me of days that we used to be kids, back in primary school, where at break times there was always space and time for Mchongoano’s. Especially most of the time it was vs kids who were pros dominated in these Mchongoano’s, “wale wakali” to the point if you dare to challenge them, signs of balancing tears will show up on your face.

Mchongoanos kali.
Even they’ll leave you in silence, as the winner gets the biggest share of the laugh surrounded by your fellow dear friends and classmates. Even at home this game became popular. And some rules would be applied like, not involving parents or any relatives names in the mix. That was to make it fair since to avoid any kind of arguments and fights.
Even though Mchongoano’s have evolved in the present day, we still have to enjoy of it’s existence. As way to have some laughs in your spare time with friends, we have some of the funniest Mchongoano’s you could ever heard or think of. Some of them are very familiar to us. If you see one, please free to share with anyone to make them smile or laugh through the day. Remember. sharing is caring.
Ati we ni mrefu hadi nyumba yenu ni convertable.
Umenona mpaka shati yako inatumika kama tent.
Ati we ni mrefu hadi miguu zina lala kwa jirani usiku.
Kwenyu mko wengi hadi last born anaitwa enough is enough.
Macho zako ni red hadi ukingalia nyama inaiva.
Kichwa yako ni bigi hadi ukifikiria tunaskiza echo.

7. Wewe umekonda sana kama kijiti za miraa.
8. Naskia kwenyu imejengwa na unga ya ugali hadi mwizi akikuja anasema fungua ama nikuje na sukuma.
9. Ukona ulimi inakaa duster ya nyumba.
10. Ukona matako red red kama nyanya za 5 bob.
Mchongoano’s kali.
Mchongoano’s are the things that have to make us laugh in times when we are bored, sad, happy and many more. It is always awesome when friends. Even family. In a way you diss each other with respect plus adding for flavor and creativity. Below are some of the most funniest Mchongoano’s you will ever see in the internet. Kindly enjoy.
1, Ati mamako ni mnono hadi akiingia kwa weighing machine inajiandika one at a time.
2. Una mdomo bigi hadi unakula ovacado kama njungu.
3. Naskia wewe ni dark hadi customer akiuliza makaa anasema niekee ile kubwa.
4. Wewe ni mweusi hadi umbu ikitaka kuku uma inaulizia torch.
5. We nimshot, ukikaa kwa pavement mguu zako zina hang.
6. Manzi yako ni mnono hadi akikaa na belt ya yellow, anakaa tuktuk.
7. Macho yako ni kubwa hadi iris yako inatambulika kuwa student.
8. kwenyu ni boys pekee hadi last born anaitwa nilijua tu.
9. Ukona dhambi mob hadi shetani anakuchongoa.
10. Wewe ni mweusi hadi we na giza mnafanana.
11. Wewe ni mrefu, ukicheza futa, ni machobo tu.
12. Wewe ni mjinga hadi ulifukuzwa shule ju ya kumeza makamasi.
13. Aty ume para para kama lami za ukambani.
14. Ukona kichwa bigi hadi huwezi funga bandana, unafunga mshipi.
15. We ni mnono hadi body yako ikona Mazgwembe.
16. Naskia mkono yako ni rough ukishika mouse, computer inashow found renewed hardware.
17. We ni fala, instead useme big brother unasema kakamega.
18. Dogi yenu imebeat hadi ikibark, lazima ijishikilie ukuta.
19. Ulikuwa na maskio biggy ukiwa mtoi hadi ukabebwa kama trophy.
20. Wewe ni mnono, ukikalia novel, we ni short story.
Deadliest mchongoano’s ever.
This below are kalis of the wakalis. Its the best so far I have ever heard people roasting each other. If you want to make sure your opponent loses, this right here my friend, this is your chance. If you memorize this kind of mchongoano’s you will end up definitely becoming pro. Hii usiwache hivo. keep them at your finger tips.
- Manzi wako ni mweusi hadi hawezi kuwa na bright idea.
- Naskia we nimjinga hadi uli repeat kunyonya.
- Manzi wako amekonda hadi cunductor ansema , No hatubebi miwa.
- Naskia wewe ni mfupi hadi unabeba thao kama mabati.
- We ni mweusi mpaka damu zako ina succulet na torch.
- Kwenu ni chafu mpaka mende zinafaa slippers.
- Naskia we ni mgaidi, ukiwa na 10 bob moi anabaki na vest pekee.
- Mother yako ni mnono akivaa nguo ya yellow anafanana na taxi.
- Manzi yako akona haga ndogo hadi akinyamba anasonga mbele.
- Naskia kwenyu mumesota wezi wakikam wanatoka experience.
- Naskia macho zako ni big, maboi wako wanakuita eye witness.
- Naskia nyinyi mumesota mpaka mnapika chapo side moja.
- Naskia wewe huishi mbali by the time ufike chuo ni second term.
- Dem wako ni mkonde sana akijikuna ribs, zinaimba kama guitar.
- Ukona meno kubwa hadi ukismile unajiuma kifua.
- Ukona kichwa kubwaa hadi ukivaa pull neck unakaa roll on.
- Mtu mweusi usiku utadhani yeye ni short cut.
- Babako ni mjinga hadi ile siku alinunua gari aliuliza kama ni male or female.
- Wewe ni mfupi mpaka unapepeta dengu.
Mchongoano kali.
Theirs more. But this you can use it to really finish your opponent. That K.O moment. This one is it. You can use the following listed mchongoano’s below and see which one is the funniest and you can use. Hope this helps. And have fun. Ujibambe. Also do not forget to show it to your friends. Remember sharing is caring.
- Dogi yako mzee, ina mumunya wezi.
- Ukona meno kubwa kama slice za mkate.
- Ati ngozi yako ni tight mpaka ukifunga macho miguu inainuka.
- Babako ni mchoyo hadi hukulia big-G juu ya mabati.
- Bodako ni mfupi hadi anshuka pavement na parachute.
- Budako ni mfupi anakimbianga 1000 kilometres kwa pekelee.
- Wewe ni mrefu, ukienda shule unatumika kama flagpost.
- Nyanya yako ni mzee hadi akiblink mguu inainuka juu.
- Manzi yako amekonda mpaka mtoi wenyu akinyonya anashika matiti kam sigara.
- We ni mkonde hadi unatumia elstoplast kama pad.
- Naskia kwenyu mume sota hadi munakulanga story za nyama.
- Nyinyi ni maskini mpaka ile siku babako aliokota kobole aliacha kazi.
- Kwenu ni maskini hadi munafungua gate na pin.
- We ni mrefu mpaka ukikosea unapigwa ngoto na mungu.
- Wewe ni mjinga hadi ukipanda ngazi unapotea njia.
- Ukona meno kubwa kama slice za mkate.
- Umenona sana hadi ukivaa jacket ya green unakaa mpesa shop.
- Dem yako ni msupu anakojoa fanta.