50 Mapenzi quotes of love in Swahili.

EVERYTHING ON JUMIA

They say love is all about give and take. Some say love is blind. Some say that love is sweet and it’s a force that cannot be destroyed. Their so much things said about love and I will leave to the people who have experienced it.

Every person who has gone through love have their own experiences. It depends with the state of their relationship since form the start. For some it has become a beautiful journey, to some it has been a learning curve, some have their own struggles to find one.

All in all their is a time whereby someone feels special becomes of somebody. And the feeling out of it is nice. And for that we have some of the Mapenzi quotes which most of it is stated in Swahili.

Couple in love drawing, vintage
Mapenzi quotes.

So if you are so much fund of Swahili so much this are some of the best and also some of the most funnies Mapenzi quotes stated online. For those who are in love, as you scroll down by seeing this post, have good free time to enjoy them. To those who are single, seeing this post you might probably cringe.

But anyway, here are some of the best Mapenzi quotes to discover on the internet.

Mapenzi captions.

Mapenzi ni nini.

Mapenzi.

Mapenzi bila pombe ni nini.

Mapenzi caption.

Nataka mwanamke ako seriupus kwa mapenzi not joking.

Mapenzi caption.

Jamani sir ya mapenzi ni nini.

Mapenzi caption.

Usiwe unamtaka tu kwa mapenzi. Mwonyeshe ukweli wako.

Mapenzi caption.

Mapenzi yenyewe ijipe.

Mapenzi caption.

Hii ndio raha ya mapenzi ama nasema uongo.

Mapenzi caption.

Jua tu. Nakupenda.

Mapenzi caption.

Hakuna kitu tamu kwa hii dunia kama Mapenzi..

Mapenzi caption.

Mapenzi ni juice ya ladha nyingi

Mapenzi caption.

Nataka munieleze siri ya mapenzi.

Mapenzi caption.

Kama mapenzi ni safari, imekufikisha wapi?.

Mapenzi caption.

Neno mapenzi ni ngumu kwangu kuelewa ebu nifafanuliwe.

Mapenzi caption.

Mapenzi siku hizi ni kame bluetooth.

Mapenzi caption.

Hii mapenzi nayo inanileta mbio kama ” Murife.”

Mapenzi Caption.

Ukiona mapenzi yanauma jua umeacha umalaya.

Mapenzi caption.

Aki mapenzi wewe.

Mapenzi caption.

Mapenzi hayana siri. Kuowa ni kazi.

Mapenzi caption.

Mapenzi legit. Haina biz.

Mapenzi caption

Nataka mapenzi moto moto.

Mapenzi caption.

Mapenzi quotes.

This where it gets interesting. For love been stated of how so many see it. Here we have more than just Mapenzi captions. We have also some of the best Mapenzi quotes or sayings to make your day. Below are some of them. You can share it with friends and family.

Vipi amesha kupost au ndo anapost family yake.

Mapenzi quote.

Raha ya mapenzi ni kupendana na sio kudanganya.

Mapenzi quote.

Kama hujawai fika mahali ukablock bae wako then uka unblock… hiyo yenyu siyo mapenzi ni cjhama cha wamama.

Mapenzi quote.

Ujinga uliovukapo viwangi huwa ni lazima nipitie profile yake kukagua sura ipoje.

Mapenzi quote.

Wewe ni ndoto yangu, maisha yangu, mwamba wangu na kila kitu kwangu.

Mapenzi quote.

Anae kuthamini mpe thamani yake ata kama maskini basi jali utu wake.

Mapenzi quote.

Kwa wale wanaokupenda hawawezi kuacha.

Mapenzi quote.

Mpenzi asiye jua umuhimu wako kwake muache na maisha yake ipo siku atukumbuka uwepo wako.

Mapenzi quote.

Wazuri ni wengi lakini kumpata mwenye mapenzi ya kweli ndio balaa.

Mapenzi quote.

Kama mapenzi ni pesa basi fungua ndoa na bank.

Mapenzi quote.

Tumerudiana tena naenda kumwambia mlivyo kuwa mnanishauri.

Mapenzi quote.

Mtu akisema ankupenda sio kama haoni mwingine ni heshima na thamani amekupa bas na wewe mpe thamani na upendo sio dharau.

Mapenzi quote.

Tulia laazizi. Nikupe yangu mapenzi.

Mapenzi quote.

wazuri ni wengi lakini kumpat mwenye mapenzi ya kweli ndi balaa.

Mapenzi quote.

Bora ni focus na memes tuu, haya mambo ya kuachwa bila sababu yataniua.

Mapenzi quote.

Hakuna mapenzi matamu kama ya Mama. Ni ya kweli na ya dati kabisa.

Mapenzi quote.

Kama huwezi kuwa daraja la kuunganisha watu, basi epuka pia kuwa ukuta wa kutenganisha watu.

Mapenzi quote.

Anayekupenda ametulia si kwa sababu hasumbuliwi au amekosa pa kwenda, hapana ni kwa sababu anakutunzia heshima ili umpende na kumtunzia heshima ndiyo maana ya kupendana.

Mapenzi quote.

Mapenzi ikikushinda kuwa mlevi.

Mapenzi quote.

Msijaalie ugomvi wa saa moja ukavunja mapenzi ya miaka.

Mapenzi quote.

Huwa anakupigia simu ama mapenzi yenu ni hadi mwashe data.

Mapenzi quote.

Kuna muda mpenzi wako haitaji mapenzi wala huo ufundi wako… Anahitaji maneno yako mazuri tu ya kumpa nguvu za kumuamsha.

Mapenzi quote.

Moyo haukomi nimependa tena bwana.

Mapenzi quote.

Hakuna maisha ya furaha kama kutulia na mwanamke mmoja.

Mapenzi quote.

Maisha mafupi sana siku hazirudi nyuma. Fanya kinachokupa furaha. Usibaki na chuki moyoni.

Mapenzi quote.

Kwa jinsi ninavyompenda natamani kumficha watu wasimuone.

Mapenzi quote.

Mapenzi yakiwa mapya mkilala mnaangaliana usonoi, subiri mchokane utasikisa kwani huwezi kupumulia ukutani.

Mapenzi quote.

Kila mwenye mapenzi ya dhati lazima apate jerala la Moyoo.

Mapenzi quote.

Mapenzi ni furaha siyo chuki wala vita.

Mapenzi quote.

Mapenzi ya kweli yana nguvu kuliko uhai wa mtu tuspipende kuumiza mioyo ya wanao tupenda kwani kila upendo unakiwango chake kwa mpenzi wake.

Mapenzi quote.

Similar Posts