50 Nukuu za hekima,furaha,upendo,fikra na za leo.

50 Nukuu za hekima,furaha,upendo,fikra na za leo. hello na karibuni katika kursa yetu ya middemb ambapo leo tutangazia Nukuu za hekima,furaha,upendo,fikra na pia za leo. kuna maneno mingi maishani ambapo tunfaa kuangazia ili itusaidie.
Nukuu hizi ama misemo hizi yatakusaidi uelewe mambo mengine zaidi. si hayo tu pia mengine yatakuwa kwa kingereza kuelewa zaidi. Chini yako kuna maneno muhimu sana yakukusadia. Naomba ikikupendeza usiogope kuwa onyesha pia wenzaku maneno kama haya.

Nukuu za hekima.
- Ubora wangu haupimwi kwa maoni ya watu.
- Ikiwa bado upo uhai na mafanikio yako yanaishi bado.
- confidence and hardwork is the best medicine to kill the disease called failure. It will make you a succesful person.
- wema tunaofanya leo huwa furaha ya kesho.
- Hasira hukupea hisia ya kuongea haraka kushinda kufikiria.
- Usiache kuomba , maombi yanabadilisha maisha.
- Kila ubaya unaofanya kwa mwingine una matokeo.
- Mpe msaada anayehitaji msaada wako.
- Mkumbuje mungu kila wakati, usisubiri mpaka wakati wa shida.
- Fanya kazi, acha uvivu jitahidi kuwa baba bora kwenye familia yako.
Nukuu za furaha.
- Siri ya furaha ni mahusiano mema miongoni mwa watu. Wanyama, mazingira, na ulimwengu kwa ujumla wake, pamoja na kuridhika kwa mioyo.
- Furaha ni pale unachosema, unachofikiri na unachofanya vinapokubaliana.
- Mafanikio ni kumpata yule umpendaye lakini furaha ni kumpenda yule umpataye.
- Unaweza kumpata umpendaye kwa pesa lakini sio umpendaye.
- Huwezi kumfurahisha kila mtu na jambo lolote utakalofanya halikosi kasoro katika macho ya watu.
- Tabasamu na furaha yako, ni kipimo tosha cha kubeba na kuimili matatizo uliyonayo kuyaona kama fursa yakufikia mafamikio yako.
- njia peke ya kufanya kazi nzuri ni kupenda kazi yako. Kama hujapata kazi unayoipenda endelea kutafuta. Usiridhike.
- Nimepata jua ukipenda maisha , maisha itakupenda.
- Furaha ni njia si mahali.
Nukuu za upendo.
- Mwanangu wanao kupenda watakuonyesha .
- kwangu wewe ni kamili.
- nakupenda sana vile ulivyo.
- Utakuwa unafaidi kwa kutoa upendo.
- Upendo ni urafiki uliyoshikwa na moto.
- Moyo unayo upendo ina hekima kweli sana.
- Upendo ni milele, kwanzia mwanzo wa pumzi.
- upendo wa ukweli haina mahitaji, ni kupend tu.
- Ota bila kuogopa, penda bila mipaka.
- ningejua upendo nini, ni sababu ya wewe.
Nukuu za fikra.
- Fikra huwa vitu ….chagua zile nzuri.
- Furaha ya maisha yako huwa inategemea kwa ubora ya fikra zako.
- Badilisha fikra zako na ubadilishu dunia yako.
- Sahau sababu zote kwanini haita fanyika na uamini kwa ile sababu itafanyika.
- ongea pekee kama inaboresha juu ya kimya.
- Gerezani kubwa watu wanajieka ni ile hofu ya vile watu watafikiria.
- Usikufe moyo kwa kile unataka kuwa. Ni ngumu kuongoja lakini ni mgumu mno ukiwa na majuto.
- Usiogope kubadilika. Unaweza kupoteza kitu nzuri lakini unaweza pata kitu bora.
- Furaha ni siri ya urembo. Hakuna urembo bila furaha.
- Fikra huwa vityu.
Nukuu za leo.
- Fungua akili baada ya kuongea.
- Ikiwa unasema ukweli, huna haja ya kukumbuka chochote.
- wema tuanafanya leo huwa furaha ya kesho.
- kama mpango haifanyi kazi badilisha mpango. lakini si lengo.
- Usiwe na majuto kwa yale yanakufanya uwe na furaha.
- Kila kitu ina urembo wake, lakini si kila mtu anayaiona.
- Zungukwa tu kwa watu wale watakuinuwa juu maishani.
- Una nguvu kushinda uliyojua na kuishi na utstawi.
- Usife moyo, kuna mtu anakuombea na utapitia hayo yote.