50 sms za furaha ya meseji.

Si kila mtu anaweza kupa furaha. Na wale walio weza kupa hiyo raha ni vizuri uwajulishe kuwa ni watu muhimu sana katika maisha yako. Ni vyema uwakumbusha ju si rahisi kupata mtu anayekujali na pia angetaka usiwe na huzuni moyoni mwako.

Ukiwa wewe una rafiki anayekujali na pia anajaribu sana kukuona uwe na maisha raha ni bahati sana kuwa na watu kama hawa maishani mwako.
Kwa hivyo ukitaka kuwajulia bi vizuri uwandikie meseji ambao itawafanya wajue kwamba kwao wewe ni zawadi kwa maisha yao. na hiyo yaweza kukupa raha mno. Kuna maneno huwezi kutumia jinsi unaweza kuonyesha vile unawapenda rafiki wenzako.
Usijali, tuna meseji ya furaha au sms unaweza tumia kutumia wenzako.
1. Vile unanijali na kunipenda, inanipea raha na pia nahisi nimebarikiwa.
2. Unanifanya niwe na raha kwa njia iliyo rahisi lakini inafanya siku mbaya kuwa siku njema.
3. Natabasamu kila saa nikiwa na wewe, inanifanya niwe maalum.
4. Umefanya nikawa na raha na mateso mengi nimepitia, yakaisha.
5. Unafanya maisha yangu yawe shwari na iwe na maana katika hili dunia.
6. Hujawahi ni acha na suluhisho ya kuhisi vibaya.
7. Kama mungu hangekua fadhili, hangetuma rafiki kama wewe.
8. Siku zangu Haingaai bila wewe.
9. Furaha inakuja na mtu anayekupa raha.
10. Nina furaha kuwa na mtu kama wewe maishani mwangu.
11. Wewe una talanta yakufanya mtu awe na raha.
12. Kwa bahati, singe faa kukulipa kwa raha umenipaa.
13. Nimebarikiwa kupewa mtu anayeweza kukupea raha kila siku.
14. Wewe ndio sababu na tabasamu.
15. Tangu nikjue nimesahau maana ya huzuni. Upendo umenipa naweza shukuru mola.
16. Ningetamani uwe na raha, raha yenye wewe mwenyewe umenipa kila siku.
17. Habari nzuri kwako , kwa kunipa raha.
18. Upendo na raha pamoja na wewe ilikuja maishani mwangu. Na namshukuru mungu kwa hayo.
19. Saa zingine maneno hayawezi kuinyesh vile tunahisi kwa wapendwa wetu.
20. Ukona kila kitu moyoni mwangu inahitaji.
21.Nashukuru kwa yale yote umejaribu kunipa raha.
22. Unanishangaza kila saa, kwasababu unafanya juu chini ili niwe na tabasamu.
23. Hakuna kile inanipa raha kama vile nakuonapo.
24. Unafanya niwe na raha, na nakupenda sana.
25. Unanipa raha sana ile raha mtu mwingine hawezi nipa.
26. Wewe ni kila kitu umefanya naweza tabasamu.
27. Sikufikiria nita tabasamu tena kila sana niki kuona.
28. Nikipewa chaguo la kuchagua wewe ama raha, nitachagua wewe kwa sababu raha yangu ni yako.
29. Kukuona tu ni raha kwangu.
30. Kwa siku ninayopitia matatizo, uwezo wako wakunisaidia ni tosha kwangu. na pia unanipa raha.
31. Kila saa nikiwa na wewe ni kama ndoto yangu imetimizwa.
32. Nikiwa na wewe najihis kama Malkia wa Dunia.
33. Niliomba mungu anipe rafiki, na ni wewe ndio alinipa. Kwa kweli we ndio baraka kwangu na kwa raha umenipa ni muhimu sana.
34. Kutabasamu kwako inanijengea siku.
35. Asanti kwa kunijengea siku kila wakati.
36. Unanipa moyo nikiwa na huzuni.
37. Sino majuto ukiwa rafiki yangu. Juu wewe hunipa furaha.
38. Nimepatana na watu wengi maishani mwangu lakini hakuna mtu yeyote amenipa raha kama wewe.
39. Nikiwa na wewe si hisi pekee yangu nikiwa na wewe.
40. Wewe ndio sababu zaidi ya kutabasamu kwangu.
41. Wewe ndo fanikio kubwa kwangu.
42. Naweza sema sitaki kupoteza mtu kama wewe.
43. Singekuwa na raha zaidi ispokuwa wewe kuwa na mimi.
44. Kuna tabasamu ya bilioni saba duniani, ila yako inanipendeza.
45. Tabasamu ni kama haujai lia.
46. Kuwa na midomo bila kutabasamu ni kama kuwa na millioni moja bila account number.
47. Kutabsamu ndio mojawapo ya kufaulu.
48. Naomba siku yako iwe na upendo na raha wakati wowote.
49. Usisahau kutabasamu. Kila wakati.
50. Maisha ni fupi kupoteza kwa watu hawawezi kupa raha na upendo unayo hitaji.