50 Sms za huzuni

Kuwa na Huzuni sijambo inaweza leta furaha. Huzuni inaweza sababishwa kama kifo cha mtu, Kuvunika mahusiano na mtu wa karibu, Kushindwa kuttimiza lengio fulani aut ata kutoelewana na wengine. Na pia Huzuni inaweza toke bila sababu lote kama wingu jeusi linalotanda juu ya maisha yetu.

Sad face sign

Ikiwa unahisi hivi, Jua tu ishafanyika na nivizuri kama bindamu tuendelee kuangalia mbele kwa kuwa tukiangalia nyuma kwa vitu yale tumefanya ikiwa nzuri ama mbaya? unaweza jiumiza moyo wako bure. Ni vizuri tu kuendele kusonga mbele.

Ukiwaendekeza walimwengu Kila siku utauguli matching Bora umuamini mungu anakupa lako fungu.

Aloniumba hajanikosea Na alonipenda amenichagua kazi kwao wewe usojitambua.

Nitafute wakati una huzuni, nitafute wakati hamna wa kukusikiliza. Sijali kama mimi ni kimbilio lako la mwisho, bali sipendi ulie peke yako.

Maumivu hufanya mtu abadilike. Akibadilika Kila kitu kinabadilika pia.

Ningekua ndege kuna watu ningewanyea Kila siku.

Dunia imejaa maadui waliovaa sura za kirafiki..

Hata ukinichukia hawezi kunifanya nice mchungu, anenipenda ndiye anaejua utamu wangu.

Kila changamoto inayokuumiza , inakufundisha kuwa Bora zaidi ya ulivyokua.

Usiogope yote ni ya Dunia.

Kila asoiona thamani yangu ipo siku atakumbuka wema wangu.

Navunjika moyo hadi nafsi yangu haiwezi ni okoa.

Ukweli ni wanakuja kama hukuwa na mpango na kukuwacha ukiwa taka saa zile unataka usaidzi sana.

Siamini ulikuja maishani mwangu kunivunja moyo baadaye.

Nina majuto kwa kuwa nilikupenda ni kawa mwaminifu wako.

Muda utapoa moyo wangu.

Kupenda mtu na moyo wako wote alafu wasikupenda ni kitu una uchungu mno.

Kila chozi inayotoka ni gharama.

Huzuni ila hauwezi eleza ni uchungu mno.

Kumbuka ikianza kuumiza, ni funzi inakuja

Inauma lakini itabid uzoe

Ikiuma jua kuna kitu si shwari

Sms za huzuni za kuumiza moyo.

Kujali mtu zaidi bila huyo mtu kuto kujali ni kihisia ya janga

Na hisi kuwa niko sawa kivyangu. Si upendo wala chuki ila niko tu sawa pekee yangu.

Kwa bahati mbaya, kuna wale wanaopenda lakini kile wanapata tu ni uchungu.

Nilitakaa kukuhisi, lakini nikuhisi sana na pata uchingu.

Alitakaa kupitia uzimu lakini akamwacha.

Si kila mtu anakutakia mema.

Nimerogwa na huzuni na taabu. Si ji hisi vizuri.

Upendo ile hatuwezi pata kwa muda ni upendo yenye kina na nguvu.

Kama singepta sululuhisho, ningekuwa bado sina raha.

Uchungu ile mbaya zaidi ni ile moyo unalia na macho haitoi machozi.

Saa zingine watu wachangamfu sana ndio wale wamepitia mengi.

Muda haiwezi tibu hisia kama huwezi jua kuacha yaliyopita.

Nimechoka kujifanya kana kwamba kila kitu iko sawa na haiko sawa.

Alinifunza kupenda lakini si kuacha.

Kuna watu wanakueka juu kukuangusha vibaya sana.

Kwa huzuni, Uaminifu ni hatari kuliko mapenzi.

Sura ingine inafaa kufungwa kuanza ingine upya.

Walisema “fuata moyo wako”lakini moyo wako ivunjwa kwa milioni utapat nguvu gani ys kupenda tena?

Inauma kuwa nyota kwa mto si wowote.

Saa zingine machozi yanaonyesha machungu mtu amepitia kuliko kutabasamu na kuficha mauchungu.

Sms za huzuni kwa kingereza.

  • I’m afraid of being the only one that falls. Where the other one pretends.
  • I tried explaining why I was so sad but nothing could come out that was when I realized I didn’t know why.
  • I did not know how hurt i am until someone was kind to me.
  • I like storms. They let me know that even the sky, screams sometimes.
  • Just because someone desire you, it does not mean that they value you. Read it over. Again. Let those words resonate in your mind.
  • Have you ever been so sad for so long that when something bad happens you do not cry, you just sit there and feel numb.
  • So tell me, how does it feel to know you get to me like no one has ever before?.
  • Tim will revel whose loss it truly was.
  • I miss you so much and your lips and your smile and your voice and your laugh and your hugs and your presence and pretty much everything else.
  • When I read your text message, I can hear exactly how you would say it.
  • I always think i did something wrong when people don’t text me back.
BLACK FRIDAY DEFACTO DEALS

Similar Posts