50 sms za maneno matamu ya mapenzi.

EVERYTHING ON JUMIA

Mapenzi kweli una mautamu yake. Haiwezi kosa ukipenda mtu anayekujali na anaweza kaa na wewe ikiwa jua au mvua, wakati chochote unachokipitia maishani, basi ni mtu bora sana. Kwa kuwa kuna furaha kupenda na kupendwa hatuwezi kosoa kuwa kuna maneno yale tunaweza kutumia kwa wapendwa wetu.

man and woman kissing together on body of water
Photo by Edward Eyer on Pexels.com

Kuwa na maneno matamu inaweza leta furaha kati yenu ni vizuri tungalie na tuone ni maneno gani inaweza mpenzi wako akupende zaidi. Ila tunasema, afadhali si pia tu ni mwaminifu lakini anajua kukoroga maneno yawe sukari.

Usife moyo kama una wakati ngumu yakuonyesha vike utatumia maneno matamu ya kufurahisha mpenziwe. ni vizuri tukupe usidizi kisogo tu kwa kutumia maneno wa kadhaa na pia ikupe fikra mpya ya kujitungia maneno kama haya. Chini utaona maneno hamsini ambapo ni matamu ya kufurahisha mpenziwe.

Sms za maneno matamu

1. Nitaendelea kukujali , kukupenda na kukupea mahitaji ninayoweza kukupea ila tuwe milele.

2. Haijalishi kama uko mbali kiasi gani, bora daima unabaki karibu na moyo wangu.

3. Wewe ndio yote ninayotaka, ninayo hitaji na nitawahi kuuliza.

4. Kwa yote uliyo, kwa yote ambayo umekuwa na yote bado hujakuwa bado nakupenda.

5. Unajua vile nahisi vile inavyonipendeza nikilala kila siku nikijua wewe ni wangu?.

6. Tafanya kila niwezalo kwa kipawa changu kukusaidia katika nyakati nzuri na mbaya.

7. Wewe umefanya nikaamini maana ya upendo kwa sababu ulinionyesha.

8. Moyo unaruka ruka saa zile unaponitazama kwa namna ya upendo.

9. Kukupenda ndio jambo bora zaidi lilionipata.

10. Naugua maradhi, kuona sura yako ndio dawa.

11. Raha ya wali ni nazi, raha ya supu ni mandazi, raha ya moyo ni kuwa na wewe.

12. Dada samahani nimetokea kukupenda nataka tuwe wote, kila nikikaa nakuwaza wewe, nikinywa maji nakuona kwenye glasi.

13. Kukusalimia ni raha kwa roho yangu. Uhali gani mpenzi wangu?.

14. Siku zote unanipa furaha. wewe kwangu kweli ni mtu.

15. Tuendelee kupendana siku zote hubby wangu.

16. Wewe kwangu kusema kweli ni wa kipekee. Ninakupenda na moyoni yangu yote na siwezi kuku saliti na sina wazo la kukutenda.

17. Thamanai ya mapenzi yako maishani mwangu ni kubwa kwangu.

18. Nashukuru mungu wa kunijalia mpenzi mwema maishani mwangu.

19. Kwa maana wewe ndiye mhimili wa maisha yangu, kipenzi cha roho yangu, tafadhali naomba unipendee milele.

20. Ila penzi lako nalikumbuka, si rahis usoni mwako ifutike kwa ndoto zangu. kwa kweli umekuwa baraka kwangu nasitaki ukate tamaa kwa mapenzi yetu tumeyang’nga’nia.

21. We ni kipenzi cha roho yangu. Kama kifuli, wewe pekee ndio una kifungu cha kufungua moyo wangu.

22. Moyo wangu wajuwa kupenda wewe, na pia nitautunza kile mimi na wewe tunayo.

23. Nakupenda mpenzi wewe pekee mwaah

24. Nikiwa na wewe sitembei, na kuwa tu kipepeo, na pepe pea, ju ya mapenzi unayonipa.

25. Utamu wa ndoto, ni ndoto ambao wewe uko ndani.

26. Nimezunguka pande zote za dunia kutafuta mpenzi. Mpenzi mrembo wakumkabidhi na moyo wenye upendo ndani yake. Siku ngundua itakuwa wewe. Mahaba unayonipa ni ya dhati na nakupenda lazizi.

27. Roho yangu unaraha kila unapo nitumia meseji asubuhi na pia usiku.

28. Kuwa nawe najiona kama malkia. Mbali ni baraka nikijua wewe ni wangu. Nakupenda mpenzi daima.

29. Maneno yako matamu uanyonipendeza sana hunizidisha hamu.

30. Mpenzi usije ukawa na mwingine na hakika nikijua nitaumia kama si kujiua nakupenda.

31. Wangu malkia nashukuru kwa mahaba uliyoni patia. Nakupenda.

32. Kwa hii dunia kuwa nawe najivunia, kuwa nawe najihisi malkia. Love you.

33. Lazizi wangu we, zawadi nono kutoka mbinguni.

34. Sijali kama mimi ni kimbilio lako la mwisho bali spendi ulie peke yako. Nitafute wakati wowote ila kuwa ni kwa furaha au kwa huzuni.

35. Wanasema kuwa chuki huharibu akili, ila mapenzi ndio tiba. Na mapenzi yako ndio imekuwa tiba kwangu.

36. Furaha yangu ni kuona tabasamu lako, kujua uko na furaha na kuhisi upendo wako.

37. Ni vigumu kwa watu wawili kupendana kusihi dunia lingine au tofauti, Lakini dunia hizo zikutanapo na kuwa kitu kimoja hiyi ndiyo maana ya kuitwa wewe na mimi.

38. Kama mapenzi ni maisha, ningekupa yangu bure.

39. kama busu ni maji ningekupatia bahari.

40. Moyo wangu hauwezi kukosa nafasi ya kukuweka.

41. Ni vigumu kumpata peni aliyekupenda vile uko. Na Mpenzi kama wewe sitaki kukuacha, kwa vile kupata si rahisi.

42. Mpenzi wangu tambua kuwa ulimwengu tunaoishi una mambo.

43. Imani hufanya mambo yote yanawezekane matumaini hufufua.

44. Kuanguka kwenye penzi lako haikuwa hiyari yangu. Umeniteka moyo na akili yangu pia.

45. Kila saa ninapokutzama najikuta nakupenda tena na tena.

46. Nikikutazama moyo wangu ya yoyoma.

47. Naogopa sana mno kukupoteza. kusema kweli siko tayari kukukosa. katika maisha yangu.

48. Kwangu wewe ni mwizi sababu umeiba moyo wangu.

49. Kila unachokifanya natamani niwepo, nikitumainia kila ndoto yako itimie kila muda na sehemu, niwepo nikikutakia mafanikio mema kwa sababu nakujali.

50. Kusumbuliwa na mlio wa simu yako, humaanisha kuwa muda fulani, mahali fulani, kuna mtu anakufikiria muda huu na huyi ni mimi mara zote nakujali.

Unayaweza kuongeza maneno yako chini. Je, ni mistari gani kali unayo?.

Similar Posts