50 sms za uchungu unaweza vunja moyo.

Si rahisi vile kwa binnadamu kupitia machungu mno hasa kama Amevunjwa moyo na mpenziwe. Pia rafiki anaweza geuka kuwa adui na mambo kama hayo yanatufanya tuwe na huzuni mno. Inaweza kuwa mtu amekukosoa lakini hajafanya jambo nzuri la kuikanya kosa lake kitafuta msamaha.

Wanaseema, Malipo ni hapa hapa duniani, ingawa ni wewe umepitia machungu usijali mno. Kwa kuwa anayekutesa hivi siku yaku utafika. Usife moyo si mwisho la dunia. Utapata watu wanaokujali na watakupenda vile ulivyo

greyscale photography of woman wearing long sleeved top

Uchungu

Chini yako uatayaona maneno machungu unaweza weka kwa sms au kwa simu yako. Ukishindwa kujaribu maneno unaweza kueleza, ni vyema tukusaidie kidogo. Ila leo unaumia kuna maneno unaweza tumikia. Chini ni sms za uchungu.

 1. Nilijaribu sana kukupa furaha. Ni kama nilishdwa. Naamini kuwa una furaha mahali upo.
 2. Nilikupenda sana mpaka kile tulicho fanya inanikumbusha sana vile nilikuwa na furaha.
 3. Ni Vigumu sana kuishi bila wewe. Ila ulinuvunja moyo.
 4. Tangu uende, nahisi kana kwamba niko pekee yangu.
 5. Sikuelewa vile mapenzi yetu ilipotea wapi njiani.
 6. Kukumbuka imekuwa pande langu la Maisha.
 7. Nilitaka unijali vile mimi nilikujali.
 8. Nikaa uchungu wangu inakupendeza. Lakini ipo siku.
 9. Hakuna like inachoniumiza ukiwa mbali na mimi.
 10. Nimeamini kuwa mapenzi yanakupa raha, na pia inaweza kupa uchungu.
 11. Unaniumiza kila saa lakini nakuja kwako kujaribu kupata upendo wako.
 12. Kuna uchungu ninayo hisi ila hujui. Na hiyo ni wewe ukiwa karibu na mimi.
 13. Nilipojua hatutakuwa pamoja, nilishikwa na huzuni na uchungu moyoni mwangu.
 14. Ningetamni usinivunje moyo.
 15. Ningetamani kuwa na ngao kwa yale umnifanyia.
 16. Nalia kwa yale siku karibu uwe wangu.
 17. Ni kitu kingumu sana kuishi na uchungu.
 18. Kukupenda ilikuwa kama mshumaa. kidogo kidogo ukaanza kuisha na taa yake ukaisha.
 19. Nilillia kila usiku.
 20. Ulinifunza kupenda lakini si kuiacha.

Sms zaidi za uchungu

Kwa kuwa kama sisi binadamu ni vizuri pia tujaribu kuwasamehe watu waliotukosoa kwenye ndoa, Mapenzi na urafiki. Hakuna mtu yeyote ambaye duniani hii hajawahi fanya kosa. Na ni vizuri tupe watu nafasi ya Koboresha tabia zao.

Ikiwa unataka sms zaidi. Tuna zingine chini yetu ambao inaweza kupea motisha ya kuandika haya maneno katika simu zako binafsi. Usife moyo, Machungu kama haya yatapita.

 1. Sitaki kuwa sababu ya kuvunja amani yako.
 2. Ulinisaliti na huoni hapo shida ni gani.
 3. Mbona unakuwa kero kwa maisha yangu.
 4. Ni wewe iluvunja uaminifu wetu kati ya wewe na mimi. Usisahau.
 5. Ningetamani ukae lakini… nimechelewa.
 6. Nitalia kwa bahari lakini sitazama kwa huzuni.
 7. kwa maisha yangu ni wewe ndo najua uliniumiza.
 8. Siwezi kuku penda tena maishani mwangu
 9. Ikiwa ni aje watu wangapi wanakupigia,kam si ule anayekupenda bado unahisi pekee yako.
 10. Uwe na furaha popote ulipo.Kubumka nilikupenda sana.
 11. Kila moyo ina uchungu fulani. Kama yangu vile uliponipa.
 12. Nilikupenda sana lakini hukunijali.
 13. Watu waliokaribu na wewe san ndio wale wanoweza vunja roho yako.
 14. Usipende na moyo wako yote, au itavujika yote.
 15. Siku hizi mbona nashanga nakupenda sana ila unani tumia vibaya.
 16. Watu wanasema usife moyo, Ila ni bora kwa kuwa unaweza unakuwa unapoteza muda.
 17. Mapenzi si kosa. Ila watu wanaitumikia vibaya.
 18. Kama kuna anakufanya vibaya, haijalishi ni mapenzi gani anakuletea, ila muwache uwe na amani.
 19. Kila chozi ni gharama kwa mpendwa ambaye unamtumia vibaya.
 20. Mungu akanipa zawadi, Zawadi ambao baadaye ukachukuliwa.
 21. Ulivunja moyo wangu kama glesi iliovunjika.
 22. Uchungu unahisi mwilini mwangu usipokuwa karibu na mimi.
 23. Nalia kila siku nikikufikiria.
 24. Kama wewe ni wangu tafadhali usinipe uchungu.
 25. Sijaifikiria kuwa siku moja itakuwa bila wewe.
 26. Inauma leo kwa kuwa hauko karibu na mimi milele.
 27. Naumwa leo kwa maneno ulitumia kuniumiza.
 28. Moyo wangu umevunjwa, ila bado inaweza kupenda tena.
 29. Umekosa kuona uzito wa upendo wangu
 30. KIla kitu huwa shwari kama unajua kuvumilia uchungu.

Similar Posts