50 Sms za usiku mwema for him or her.

Kabla ya kuenda kulala ni vizuri saa zingine kuandikia meseji au sms za usiku mwema kwa mpenziwe.

Fikiri kwa mfano tuseme uko mahali unarejea nyumbani na ni usiku kucha, na kabla uingie nyumbani unapata meseji kwa simu.

Meseji huu imetoka kwa mtu anaykujali na pia anatamani wewe uwe na maisha meme kesho, na pia anahisi kuwa ni muhimu kwake kujua hali yako.

kwanini sms za usiku mwema

sababu ya kuandika meseji au sms za usiku mwema ni kuwa inaonyshe hisia za upendo kwa umpendaye na pia inaonyesh kuwa kwa yule unamwandikia meseji hii.

Sababu ligine ni kuwa ina uunganisha na kuimarisha uhusiano kati ya wewe na wapendwa wako na bado unataka kuiendeleza.

photography of cat at full moon
Photo by Pixabay on Pexels.com

Na kuna sababu mengi wa kadhaa ya umuhimu wa sms za usiku mwema. kwa ujumla kuandikia Ujumbe wa usiku mwema ni rahisi lakini pia inaonyesha upendo kwa nguvu kati ya mtu au watu ungependa kujenga mahusiano.

sms za usiku mwema za kiingereza.

Usingizini ni Hali alioiasisi mungu na kumpatia mwanadamu. Hali huo inayoanza kama hisia.

Ulalapo hutaona hofu; naam, utalala Na usingizi wako itakuwa mtamu.

Goodnight usiku mwema.

Good night sweet dreams and a nice sleep.

Sweet dreams my love good night.

Rest peacefully dream sweetly.

Everything will work out you don’t have to know how. Just have faith in God and believe that it will…. Good night.

Good night sweet dreams, may the Lord watch over you tonight.

Don’t lose hope, you never know what tomorrow will bring… Good night.

Sometimes someone says something really small and it fits just right into this empty place in your heart. Good night.

Good night sleep tight don’t make the bed bugs bite.

Good night my sweet heart.

Missing you been here. take care and good night.

Good night love.

Ten thousand good night kisses.

Sms za usiku mwema

Naomba uwe na usiku mwema mpenzi wangu.

Natumia meseji huu kwa malaika wangu kukumbusha kuwa nina bahati kuwa na wewe maishani mwangu na pia nakupenda sana.

Nakuombea ulale njema na pia tulale vizuri mpenzi wangu.

Kumbuka jinsi unayoleta furaha moyoni mwangu. Usiku huu nakutakia usingizi nzuri na ndoto ya kuvutia.

Nakutakia usiku yenye amani na furaha.

Kama nyota zina’vyongáa usiku, vile mapenzi langu inavyongaa kwako. Uwe na usiku njema.

Ninakutumia mapenzi yangu yote yangu yote na kukumbatia kwa mawazo.

mwanga na nyota unakuongoza njia ndoto zangu. Good night.

Ninapoweka kichwa kitandani kila saa nakuwaza. Ulale vyema.

Usiku huu natamani nungekuwa karibu na wewe kukuhakikisha upendo wangu. lala salama.

Unapokwenda kulala, jua moyo wangu unakusindikiza. lala salama yangu.

Kumbuka jinsi ulivyonipa furaha na joto la upendo. Usiku hii nakutakia usiku mwema.

Usiku mwema. moyo wangu.

Lala kwa amani, malaika wangu. Upendo wangu kwako ni wa dhati na usio kifani

Mwanga wa mwezi unakufunika usiku huu, ukiwaambia ndoto zako zipendwe na furaha ya moyo wangu.

Usiku huu, lala vizuri na ujuwe kwamba wewe ndio kila kitu moyoni mwangu.

Nakutumia busu la usiku mwema kutoka moyoni mwangu. Lala vizuri.

Nakuombea usiku mweupe kama pamba na ndoto tamu za mapenzi yetu. good night.

Usiku mzuri, penzi langu.

Natamani kukushika mkono na kukutemebeza katika ulimwengu wa ndoto zetu. Lala vizuri.

Kumbuka wewe ndo sababu la furaha yangu. good night.

Nakutakia usiku mwema kwako, kwangu wewe ndo kipenzi cha roho yangu.

Nakutumia joto la upendo wangu kukufunika usiku.

Natuma ujumbue wa usiku mwema kwa penzi wangu.

Nakupenda penzi. pumzika kwa leo umefanya kazi nyingi.

Upendo wangu kwako ni milele. Good night.

Nakumbea usiku mwema na usingizi tele.

Ninalala na wako moyoni mwangu. Nikikumbuka bado nakupenda.

Lala kwa amani malaika wangu.

Usiku huu lala ukitabasamu maan ya ulinzi wa mungu na pia la penzi letu.

Naamini najihisi mtu mkubwa kwa kuwa nimempata msichana mrembo kama wewe. Good night na ulale salama

Lala salama, mpenzi wangu. Upendo wako inafanya niamke kila siku.

Malkia wa moyo wangu, lala salama na ukumbuke kuwa nitakupenda milele.

Kabla ulale na ufunge macho kumbuka kuwa nitakuwa na wewe wakati wowote, kukulinda na kukuombea kila siku.

Usiku mwema. Ndoto zako iwe na urembo kama wewe.

BLACK FRIDAY DEFACTO DEALS

Similar Posts