60 sms za kirafiki kwa mpendaye.

Sms za kirafiki ni maneno ambacho unaweza kuitumikia katika simu yako ili utumie mwenzako sms za kuonyesha kuwa unamjali rafiki mwenzako. Urafiki ni kitu ambapo ni muhimu sana katika maisha ya Binadamu amabpo kila siku tungependa kuwa na watu wanaotujali.
Bila hiyo, tunajikera sisi wenyewe tukiwa pekee yetu kwa kuwa kuna msemo ” No man is an island” na kwa vile vile ni vizuri sana kuwa na watu karubu na wewe katika maishani mwako wa kila siku hapa duniani.

Chini yetu ni maneno matamu yanayoweza Kuendeleza urafiki wako yawe bora zaidi. Usisahau kuwa ukijali wenzako pia nao wati kujali.
Sms za kirafiki.
- Sijui ningekuwa wapi maishani bila wewe. Nina Thamani urafiki yetu na nataka kusema wewe ni bingwa katika maishani mwangu.
- marafiki bora ni wale wana simama na wewe wakati wowote.
- Kile itachofanyika niko tayari kusimama na wewe.
- Jua au mvua, utabaki kuwa rafiki yangu bora.
- Naamini kuwa marfiki wana nafsi sawa. Tunahisi sawa, Tunafikiria sawa si wote tuko sawa.
- Kile nachopenda kuhusu urafiki wetu ni kuwa haizeeki.
- Mahali popote maisha inatupelekem nitakukimbilia wewe.
- Ni rahisi kama ABC. wewen ni rafiki yangu, na nakupea maisha yangu kwako.
- Kila shujaa anahitaji mchezaji wa pembeni. Na nina furaha kuwa wako.
- nimetamani siku zilizopita tukiwa pamoja… Ikiwa hatujapatana jua tu upo moyoni mwangu.
- Nahisi kuwa damu yetu ni sawa.
- Una nafasi moyoni mwangu. Nafasi amabo mwengine hawezi pata maishani mwangu.
- Mbingu iko kwa sisi wawili tujikakamue tuwe washindi.
- Urafiki wako ni taa inayo mulika tatizo nimeyapitia katika maishani mwangu.
- Wewe ni kifahari kwangu kwa yake umenisaidia kupitia maishani huu.
- Kila mtu ana hadithi ya maisha yake. lakini kwangu yako imechangia pakubwa maishani mwangu.
- Nakumbuka siku tulikokutana. na Maisha yangu ikabadilika.
- Unaweza kuja kwangu na uniulize kitu chochote unachotaka.
- Najua uaminifu ya ukweli kwa sababu nimeiona kwa macho zako.
- Wewe si mtu unaye toroka maisha ya ikiwa ngumu.
- Rafiki mzuri ni yule anaelewa kuelewana nini.
- Hakuna tuzo kweli, kama urafiki bora.
- sielewi vile watu wanajiita marafiki alafu kesho wanakufuga. Wewe ndio rafiki yangu wa dhati.
- Nikiwa na huzuni. Una leta furaha katika maishani mwangu.
- Asante sana kuwa rafiki yangu. Umekuwa baraka kwangu.
- Rafiki wa ukweli ni ngumu kupata. Na wewe ni moja wao.
- Tumekuwa pamoja kwa muda mrefu. Na naomba tuendelee hivi.
- Nina shukuru mola kunipa rafiki kama wewe.
- Nitakuwa na wewe kila saa kukusaidia kupiga vita yako.
- Endelea kumeta meta kama nyota. Jua tu unaweza pata saidizi kutoka kwangu.
- Hakuna mtu yeyote anaweza kukutoa moyoni mwangu.
- Huwezi amini vile wewe ni muhimi sana katika maishani mwangu.
- Upendo wako ni ya dhati. Nakupenda sana rafiki yangu.
- Wewe ni mtu amabay unaweza fanya mtu acheke sana.
- sina maneno mengi ya kukuonyesha vile mimi nakupenda kama rafiki yangu.
- Tuna kitu inayotufanya tuwe pamoja.
- Kama hunichati, nasihi utupu maishani mwangu.
- Ni wewe tu upo tayari kuniinua niki anguka.
- Hadi ukiwa mbali nami, hakuna kitu inaweza kututenganisha.
- Mpendwa, na abudu ukweli wako na uaminifu wako.
- Akili yangu inatulia ukiwa karibu.
- Tulicheka sana pamoja mpaka tukatoa machozi.
- unanipa motisha niwe bora maishani mwangu.
- Nina bahati sana kuwa na rafiki bora maishani mwangu.
- Nakutumia upendo na baraka kwako.
- Tangu siku nikupate, hakuna siku ile nilikosa kucheka nikiwa na wewe.
- Asanti kuweka rangi katika maishni mwangu. bila wewe ninge choka.
- Urafiki yetu ni ya kipekee.
- Ni neema ya Mungu kwa vile ukona mimi.
- Ukitaka bega la kulilia, kumbuka niko hapa.
- Urafiki yako unaleta amani moyoni mwangu.
- Kwako lango yangu wa moyoni ni wazi kwako.
- Jua kunipigia ikiwa una tatizo lolote.
- Nakumbuka siku moja ulikuja kwangu kunipa furaha.
- Asante kwa wakati nzuri yote tulifanya.
- Nitakuambia shida zangu, pia nawe niambie shida zako.
- Kuna watu wachache wazuri kama wewe duniani hii
- Roho yako ni sawa na upole.
- Nitakuwa hapa kukubusha vile wewe ni muhuimu katika maishani mwangu.
- Mungu akubariki kwa uaminifu wako.