Methali na aina sita za methali.Methali ni kifungu cha maneno chenye maana fiche msaru imefichika kwa utumi wa tamathali na istiari.

Methali.

Dhima za methali katika jamii.

–         Hutoa mafunzo kwa wana jamii.

–         Hutoa onyo kwa wanajamii.

–         Kutoa ushauri wanajamii.

–         Kuwatia wanajammii nayo

–         Kuwaliwaza na kuwa falisi wanajamii.

–         Kueleza kaadhi ya tabia za binadamu

–         Huifadhi kitamaduni za historia ya wanajamii.

–         Hutumia lugha na urembo na mvutu.

Aina za methali.

Aina za methali.

–         Methali visawe

–         Methali zinazo taja sehemu za mwili.

–         Methali zinzotaja mungu

–         Methali zinazotaja wanyama.

–         Methali zinazotaja moto.

–         Methali zinazotaja ndege.

1.    Methali visawe – venye maana sawa kwa mfano. Dalili ya mvua ni mawingu.

2.    Methali zinazo taja sehemu za mwili – Kwa mfano. Macho hayana panzia.

3.    Methali zinazotaja mungu – Kwa mfano. Mungu si athumani.

4.    Methali zinazotaja wanyama – Kwa mfano. Nyani haoni kundule.

5.    Methali zinazotaja moto – Kwa mfano. Penye moshi hapakosi moto.

6.    Methali zinzotaja ndege – Kwa mfano: Mwana wa kuku hafunzwi kuchakura.