Aliyee juu mgoje chini insha.

Wazee wa kale walikonga na kutembea kwa mkongojo waliamba kuwa aliyee juu mgoje chini. Walikuwa na maana kuwa mtu leo anayejigamba kwa cheo chake leo kesho utampata akiwa ameanguka pu, asipojichunga. Semi hili hututadharisha tusifanye jambo kama hili.

Nilikuwa na rafiki ambaye tulipendana kama chanda na pete. Rafikiye huyu kwa jina Abel, tulisomea shule ya upili wa maadini. Maadini ilisifika kwa kuwa na wanfunzi waliokuwa wembe masomoni. Tulijiona wafalme wa wafalme, watu waliostahiki heshima na kutumikiwa.
Hapa ndipo mimi na Abel tulipatana na tukawa marafiki wa kufa kupona. Tulikaa chini na yeye, siku moja tukaulizana nini tunataka kua tukiwa tumemaliza shuleni. Ipi ni ndoto zetu iwe tukiwa tumemaliza shule hapa inje tuwe na nguvu kuitimiza ndoto hili. Mimi nilitamani sana kuwa mwana biashara, niwe na kampuni langu niwe nimefikia kiwango cha bara la Afrika na kuwapa vijana kazi.
Abel alinisikiliza kwa makini. Abel alijibu swali hilo kwa kuwa alitaka sana kuwa Gavana wa Nairobi. Sababu lake kubwa ni kwamba anataka kusaidia jamii, wawe wanapata matibabu ya bure, kulipia watoto karo zao yawe bure mpaka shule ya upili. Na isitoshe usafi uzingatiwe na barabara yawe maridadi.
Mimi na Abel tulikuwa na ndoto za kutimiza. Mimi na abel taukafanya mitihani zetu za litaifa na tukapasi. Sikumwona tena lakini tulikuwa tukiongea tukitumia simu. Miaka tatu ikapita ikawa kuongea na Abel ikakuja kuwa kikomo.
Kwa kuwa hayawi hayawai huwa na miaka kumi na miwili nikatimiza ndoto langu ukawa kampuni langu imejulikana Afrika. Ilikuwa na wafanyakazi wa elfu moja na jina langu ilikuwa umejulikana nchini.
siku hizo, Nairobi lilikuwa likifanya uchaguzi la gavana mpya wakusaidia waraia wa Nairobi. Mshindi mwenyewe ukawa ni Abel. Aliyekuwa rafiki yangu tukiwa shule ya upili. Ingawa sijamwona kwa muda mrefu nilikuwa na furaha mpwitompwito kuona wenzangu kufaulu kwa kazi yake.
Nilijitayarisha na kuenda kumwona Gavana Abel, nione kwamba ananikumbuka , ndio alinitambua, tukaongea na kwenda hoteli la kifahari ambalo sikumbuki jina lakini tuliongea na kutembea sako kwa bako.
Jambo sikuelewa ni siku lililofuatia, nilipigiwa simu kuambiwa niwashe televisheni na nikaone habri za asuhuhi. Kampuni langu Zendati, ukasemekana imeshukiwa kuwa imepatikana kuwa na ufisadi. Nilichanganikiwa , na kuuliza ni nani anaweza kuwa anadanganya hivo? na pia kunifanya hivi.
Haikukaa kujua kuwa ni Gavana mwenyewe ameingiza jina la Kampuni langu kwa siasa zake ila kufurahisha wafuasi wake. Nilienda kuongea na Gavana Abel lakini wapi, hanisikizi na ilifanya Zendati lilipoteza biliono mbil nukta nee kwa miezi mitatu hapa uchunguzi ukifanyika. Lakini mungu kwa kweli anjua mja wake.
Baada ya miezi mitatu, Zendati ilipata nguvu na kuendelea na oparesheni zake na kuendelea vizuri. Gavana Abel alipelekwa kortini na kupatikana akifanya ufisadi ofisini na kufutwa kazi, Miaka tatu iliyopita , niliona Abel ofisini yangu akitaka kzi kwa kampuni langu. Kwa yale alifanya nilimsamehe lakini sikump kazi. Kwa kweli aliye juu mgoje chini.