Insha ya mungu si adhumani.

Insha ya mungu si adhumani.

Sasa nala,namywa na najivisha. Sikuamini kama kaski moja nitakuwa jinsi nilivyo. Nimezaliwa katika aila ya uchochole. Mimi ndimi kifungua mimba wa wavyele wangu Bwana na Bi hamisi. Katika familia yetu tumezaliwa waja kumi na wawili.Nyumba yetu ilikuwa imejengwa kwa udongo tukiwa sote hivyo, tulilala Baba, mama nasi sisi wote nyumbani.

Insha ya resipe ya kuandaa matoke kwa watu wanne.

Insha ya resipe ya kuandaa matoke kwa watu wanne.

Bambua ndizi huku ukiziweka kwenye maji baridi.
Kata ndizi hizovipande vodogo vidogo.
Zitie ndizi kwenye sufuria. Tia chumvi kisha utie maji kabla ya kuteleka.
Funika ndizi hizi hadi ziive (maji yasiishe).
Zinapoiva, mwaga maji , tia siagi vijiko vidogo na unpondaponda kwa kutumia mwiko.
Pondaponda hadi ziwe laini kisha finyilia mchanganyiko huu pamoja ili kutoa umbo, weka