Aliyee juu mgoje chini insha.
Wazee wa kale walikonga na kutembea kwa mkongojo waliamba kuwa aliyee juu mgoje chini. Walikuwa na maana kuwa mtu leo anayejigamba kwa cheo chake leo kesho utampata akiwa ameanguka pu, asipojichunga. Semi hili hututadharisha tusifanye jambo kama hili.