kyleoyier926

12+Nukuu za biblia.

12+Nukuu za biblia. Leo tutayaona maneno muhimu katika biblia. Kwa ya Leo Nukuu za Leo ya bibilia itatoka kwa nhubiri 3:1-8. Uwe na siku njema na mungu awabariki.

10 Nukuu za chuki.

10 Nukuu za chuki. Karibu katika  pande huu wa middemb ambapo Leo utazipata Nukuu kumi za chuki au kwa kingereza inatajwa quotes of hate. Ikikupendeza mno tafadhali usiogope kuwaonyesha wenzako kurasa yetu ya middemb.

12 nukuu za maisha.

12 nukuu za maisha. Karibuni sana katika kurasa hii ya middemb ambapo utayaona nukuu kumi za maisha. Nuku hizi zitakusaidia sana na kujiangialia wewe binafsi maisha Yako ni I unataka kuwa au unataka nini katika maisha hii

athletes running on track and field oval in grayscale photography

Insha ya asiyekubali kushindwa si mshindani.

Nilivaa nguo zangu nikinywa chai kwa mkate iliyokuwa tamu kama asali. Nilipomaliza, nilianza safari kwenda shuleni. Siku hiyo ilikuwa siku ya mwisho ya muhula wa kwanza. Nilipofika shuleni wazazi walikaribishwa na kuketi kwa viti vilivyokuwa nyeusi tititi.

red and yellow hatchback axa crash tests

Insha ya ajali haina kinga.

Kuandaliwa kwa siku yenyewe kulikuwa kumeshakamilika na sikuamini itafanyika. Hivi ndio siku ilianza kwangu. Nilirauka raurau kabla ya bwana shamzi kupasua matlai yake. Nilienda hamamuni kucheza mchezo wa bata.

rear view of a silhouette man in window

Insha ya siku za mwizi ni arobaini.

Siyawezi kusahau kile tulichofanya mimi na wenzangu. Nilikijuwa na huzuni mno kwani kile nimepitia ni maisha magumu mno. Ningaliskia nisingalifungwa maishani katika gerezani hii. Niliomba mungu msamaha kwa kosa nilichofanya.