Insha ya harusi

Insha ya harusi

Insha ya harusi. Tuliamka alfajiri yamajogoo tayari kwa safari tuliyoingojea kwa siku nyingi. Tulijitayarisha kwa haraka ili tusichelewe kuenda kumlaki dada yangu katika eneo la harusi katika mbio mbio za sakafuni, tulipatana na wenzetu njiani, tulichukua gari na kuondoka. Tulikuwa karibu kuwasili eneo la harusi yenye ilikuwa katika kanisa la shauri moyo Adventist church ambayo…

Insha fupi ya ndoto isiyostajika

Insha fupi ya ndoto isiyostajika

Ndoto isiyotajika insha mfano. Nilikuwa nimekwisha kujitajarisha kwenda kulala mlango ulipobishwa, nilishtuka na kuketi sakafuni ni kwaza nani aliyekuwa alibisha mlango saa saba unusu usiku. Mtu huyo alibisha kwa nguvu huku akileta jina langu inijaribu kutambua sauti ila lakini wapi. Tulikuwa nyumbani na dada yangu na kaka yangu lakini wao walitwa washalala. Nilifikiria ni waamshe…

Insha za kumbukumbu za mkutano wa pili wa mwaka.

Insha za kumbukumbu za mkutano wa pili wa mwaka.

Insha ya kumbumbu za mkutano wa pili wa mwaka.

Insha ya kumbukumbu za mkutano wa pili wa mwaka ambapo tutajadili ajenda zifutazao usajili wa wanachama wapya kuamrisha uzungumzaji wa kiswahili shulenina kongamano la kiswahili. Tarehe 7 Januari kuanzia saa nne jioni.

Waliohudhuria.

Bw. Morris Nzomo – Mwenyekiti.

BI. Grace fahari – Naibu wa mwenyekiti.

BI. Stacey mwende – Mwekahazia.

BI. Pius mwendwa – Katibu.

BW. Dennoh musyoki – mwanakamati.

Waliotuma udhuru.

BW. John mwanzi – Mwanachama.

BW. Patricia kimkungut – Mwanachama.

BW. Peter Nzoki – Mwanachama.

Waliokosa kuhudhuria.

BW. Noah joel – Mwanachama.

BI. Alice samson – mwanachama.

Katika mahudhuria.

Prof . Dennoh victor – Afisa katika wizara ya elimu shuleni.

AJENDA.

Usajili wa wanachama wapya.

Kuamazisha uzungumuzaji la kiswahili shuleni kongamano la kiswahili.

WASILISHO KUTOKA KWA MWENYEKITI.

Mkutano ulianza saa nne kwa maombi yalioongoza na BW. Dennoh musyoki. Mwenyekiti aliwakaribisha waliohudhuria na kuwashukuru kwa bidii walionyesha.

KUMB: 7: 2021 USAJILI WA MWANACHAMA WAPYA.

Katibu aliwafahamisha wanachama kuwa tuko na usajili wa wanachama wapya ambapo wenye walikuwa walieza kuenda kwao na kusema wanachama wachaguliwe wengine.

KUMB: 8: 2021 KUAMAZISHA UZUNGUMZAJI WA KISWAHILI SHULENI.

Wanachama wanakubaliana kuwa wanafunzi wakuwe wanazungumza lugha ya kitaifa ambayo ni kiswahili kwa sababu wamezoea kuongea kiingereza mpaka wakasahau kiswahili.

KUMB: 9: 2021 KONGAMANO LA KISWAHILI.

Wanachama wanaarisha wanafunzi wasikuwe wanaongea kiswahili kila siku lakini wanaeza tegewa siku moja tu maalumu ya kuongea kiswahili.

KUFUNGA MKUTANO.

Mkutano ulifungwa kwa maombi yaliyongozwa na BW. Pius mwendwa saa tisa jioni.

THIBITISHO.

Sahihi Tarehe.

Mwenyekiti : 7 Januari 2021

Katibu : 7 Januari 2021