Insha ya mahojiano Kati ya meneja wa kampuni na mtu anayeomba kazi.

Insha ya mahojiano Kati ya meneja wa kampuni na mtu anayeomba kazi.

Insha ya mahojiano kati ya meneja wa kampuni na mtu anayeomba kazi. Meneja: Karibu ndani. Hujamnbo? Mwajiriwa: Asante. Sijambo. Meneja: Unaitwa nani? Mwajiriwa: Hassan Ali. Meneja: Kutoka wapi? Mwajiriwa: Kutika muranga. Meneja: ( Huku akisimama) ningependa kukutembeza huku ili ukujue sawsawa. Mwajiriwa: (Akisimama kwa kutabasamu) anamuuliza meneja mengi kuhusu kampuni hiyo. Meneja: (Akiashiria) hapa ndipo…

Insha ya Hotuba ya mwalimu kwa wanafunzi.
|

Insha ya Hotuba ya mwalimu kwa wanafunzi.

Wanafunzi hamjambo?. Nina furahi sana kuona vile mlivyochangamka. siku hii ya leo ningependa tuzungumze juu ya vitu vitakavyotusaidia tufaulu maishani mwenu na pia kwa heshima yenu. Ninatarajia mniskize Kwa makini nataka kuwapa mawaidha machache kwanza. Ninawapongeza kwa bidii yenu mnavyotia katika masomo yenu. Tieni bidii vivyo hivyo msije mkajuta baadaye kwani, majuto ni jukumu huja…

Insha ya Dayolojia kuhusu ajali ya barabarani.

Insha ya Dayolojia kuhusu ajali ya barabarani.

Insha ya Dayolojia kuhusu ajali barabarani.(Afisa mkuu was polisi was idara na mwanafunzi ofisini mwa walimu mkuu.). Afisa: Hujambo? Mimi: sijambo afisa. Afisa: Masomo yv.ako vipi?. Mimi: yako rahisi Kama kunya maji. Afisa: Hiyo ndio maisha jitahidi.Mimi: Asante.Afisa: katika Masomo najua mnafunza njia za kujikinga barabarani. Mimi: naanm Afisa: Kama zipi?. Mimi: kuendesha gari kwa…