mifano za insha ya mahojiano.

mifano za insha ya mahojiano.

lakini ilikuwa imeanzishwa katika mji kadha kama vile laikipia na Nyandarua. Kwa vile ndio watu wanatarajia matakwa kama hizi kutoka kwetu lakini na himiza kuwa watu wenyewe kila mwananchi afanye juu chini kupanda mimea ama vile miti juu mazingira na tunaweza kufanya biashara na wakulima na kuelimisha na hayo yatachangia kubwa sana katika jamii letu.

Insha ya taarifa.

Insha ya taarifa.

Kisa kimoja nkimetokea katika kijiji cha umoja ambapo jizee la miaka themanini aligeuaka na kuwa hayawani alipo mgeukia mjukuu wake na kumchinja huku kisa na maana alichukua manati yake na kwenda kuwinda. Kweli huu ni ungwana ?.mbona tuwe waja wenye hasira za mkizi?.

insha ya maisha yangu.

insha ya maisha yangu.

Nilizaliwa kijijini kazana na wazazi wangu Bwana na Bi mkinga. Waja wengi hapendi kutaja umri wao, labda wasiitwe wazee, ila mimi sina haja ya kuuficha umri wangu. Hata nikitaka kuficha mkunyazi usoni yatani saliti yeyote anijuaye sasa anajua nimefika umri mpevu wa miaka zaidi ya themanini. Namshukuru jalia kwa kunijalia miaka sabini ya wastani wa kuishi mja na wangu wa juu. sio kwamba najitopa lakini labda umri wangu wa juu wadhihirisha kuwa nilidumisha mbele hasa kuwa heshimu wavyele wangu. Naye mterehemezi akanijalia maisha marefu.