Insha

close up photo of a smart boy doing a science experiment

Insha ya mdokezo

Insha ya mdokezo. Hii ni insha ambayo mwanafunzi huhitajika kuikamilisha. Insha ya mdokezao ni aina mbili. 1. Insha ambayo mwandishi hupewa mdokezo wa utangulizi. 2. insha ambayo tamati yake inadokezwa au Mdokezo wa kwanza , mdokezo wa kumalizia.

woman explaining detail of project to colleague

Insha ya mazungumzo au dayolojia na maana yake.( guide)

Insha ya mazungumzo au dayolojia na maana yake.(guide).Dayolojia ni mzungumzo yanayo wahusu watu wawili au pande mbili. Zikiwa na lengo la kutatwa au kuweka wazi swala fulani. Mazungumzo hutokana na kitezi zungumza. Kilicho na maana ya kubadilishana mawazo kuhusu swala lolote. Mazungumzo hungawanya mara moja: a.     Mazungumzo rasmi. b.     Mazungumzo ya kawaida. Yanatokoa mahali popote wakutanapo husik. …

Insha ya mazungumzo au dayolojia na maana yake.( guide) Read More »

pile of letters in envelopes

Insha ya maelezo

Maelezo ni insha ianyoaagiza mtu afanye jambo fulani au kumwonyesha njia yakuonyesha maneno fulani au michoro.

– Mtu hupewa maelekezo ili kuhakikisha kuwa, hayafanyi mambo fulani vibaya au njia isiyofaa.

1.Maelekezo wakati wa mtihani.

2. Maelekezo jinsi ya kutumia dawa fulani.

3. Maelekezo jinsi ya kununua kifaa na kutumia k.v Runinga, simu.

4. Maelekezo jinsi ya kununua kifaa na kutumia k.v runinga, simu.

5. Maelekezo ya barabara.

Umuhimu wa maagizo.

– Kumwangaza mtu kufanya jambo fulani.

– Kuhakikisha na mtu hapotezi wakati.

– Kumwezesha mtu kuwa na nidhamu fulani.

– Kuwe na maelekezo mzuri wa kufanya mambo. M.f maelekezo ya mapishi.

– Kumwepusha mtu na hatari m.f maagizo ya jinsi na kutumia dawa.

Jinsi ya kuandikia insha ya maelekezo.

1. Kuwe na kijiichwa.

2. Maagizo yafutane moja kwa moja kuanzia agizo la kuanzia hadi ya mwisho.

3. Kusiwe na agizo au, ama.

4. Kusiwe na njia mbili za kufanya jambo.

5. Ni jambo la busara kutumia namanri kwa kila agizo ili kuonyesha jinsi utaratibu wa kuandika jambo utafululizwa.

m.f: Jinsi ya kumhudumia anayetokwa na damu tia maanani kwamba kuvunja kwa wingi huenda kukamfanya mhusika kuzirai kutokana na mshtuko zingatie yafuatayo.

1. Valia glovu za mkono na uhakikishe umwewana mikono kabla ya kufanya huduma.

2. Ikiwa una jeraha ama kidonda, kizibe kwa rifaa chenyae kunata na kisichopenyeza maji.

3. Vua au rarua nguo za mwathiriwa ili kuweka wazi kidonda. Chunguza ikiwa Jeraha ina vitu vikali.

4. Finya eneo lenye jeraha kwa vidole vyako vya nyumba, kimoja kila upande wa jeraha kunganda na kumwezesha damu kunganda na kumwezesha.

5. Inua sehemu iliyojeruhia juu la eneo la moyo wa mhusika.

– Hakikisha unafanya hivyo kwa uangalifu haja ikiwa jeraha limajirikisha ili kupunguza mwendo wa damu.

6. Mlaze chali mhasiriwa kichwa kikiwa kimeinama kidogo kuliko kiwiliwili ili kupunguza uwezekano wa mshtuko wa moyo.

7. Mfunge bendeji katika eneo la jeraha.

8. Ikiwa damu huonyesha kewenye bendeji mfunge bendeji ingine juu.

9. Mpeleke mhajiriwa katika kituo cha matibabu kilicho karibu.,

Insha ya barua kwa mhariri.

Ni Braua rasmi iandikwalo kwa mhariri wa gazeti fulani.Yeyote anaweza kuandika barua hii kwa lengo la kutoa maoni kuhusu swala fulani au kulalamikia swala ambalo limewaathiri wanafamii maswala kama ugaidi, ufisadi, njaa , uharibifu na uchafuzi wa mazingira.