Methali na aina sita za methali
Methali na aina sita za methali.Methali ni kifungu cha maneno chenye maana fiche msaru imefichika kwa utumi wa tamathali na istiari.
Methali na aina sita za methali.Methali ni kifungu cha maneno chenye maana fiche msaru imefichika kwa utumi wa tamathali na istiari.
Insha ya harusi. Tuliamka alfajiri yamajogoo tayari kwa safari tuliyoingojea kwa siku nyingi. Tulijitayarisha kwa haraka ili tusichelewe kuenda kumlaki dada yangu katika eneo la harusi katika mbio mbio za sakafuni, tulipatana na wenzetu njiani, tulichukua gari na kuondoka. Tulikuwa karibu kuwasili eneo la harusi yenye ilikuwa katika kanisa la shauri moyo Adventist church ambayo …
Ndoto isiyotajika insha mfano. Nilikuwa nimekwisha kujitajarisha kwenda kulala mlango ulipobishwa, nilishtuka na kuketi sakafuni ni kwaza nani aliyekuwa alibisha mlango saa saba unusu usiku. Mtu huyo alibisha kwa nguvu huku akileta jina langu inijaribu kutambua sauti ila lakini wapi. Tulikuwa nyumbani na dada yangu na kaka yangu lakini wao walitwa washalala. Nilifikiria ni waamshe …
Mkasa wa moto kijijini. Ulikuwa usiku wa manane niliposkia usemi wa buka uliotoka kwa jirani kadri kilomita mbili kutoka nyumbani kwetu. Kweli nilikuwa katika gonezi ya ajabu kwani singeskia kitu chochote kile. Hii ilikuwa nadra sana kama maziwa ya kuku ama mizizi ya mawe. Bayana nilikuwa nimechoka kutokana na kazi niliyoifanya siku hiyo. Kwanza nilikejeli …
Siku yangu ya kwanza katika shule ya upili. Ilikuwa asubuhi ya mapema ambapo nilikuwa nikiamka, jogoo iliwika na nikaona jua liking’aa juu angani, nilijua ni siku mpya ya furaha. Nilijitayarisha kwa kuenda katika chumba cha kuoga nani ka sitaki uchafu kwa sabuni, ni toka huku ni kiwa msafi kweli kweli. Nilienda katika chumba changu na …
Siku yangu ya kwanza katika shule ya upili Insha. Read More »
Barua kwa mhariri. FRANCIS ELIOT S.L.P 23556, ZAMUNDA. 29/01/2020. Kwa mhariri.GAZETI LA TIMBO,S.L.P 406 – 1374.NAIROBI. Kwa mhariri. MINT:AJALI ZA BARABARANI. Kulingana na tarakimu iliyotolewa na wizara ya uchukuzi nchini, inasemekana kuwa kadri ya waja elfu tatu themanini wamewaza kusafiri jongomeo. Hii ni nambari kubwa sana kulingana na nambari za mwaka uliopita. Ni bayana kuwa …
uhali gani? Pokea salamu kemkem kutoka kwa familia yako. Wote wanatumai u buheri wa afya. Sisi hapa nyumbani tu wazima kama kigogo. Kila mmoja ana hamu ya kukuona lakini uko mbali na sisi kwa hivyo hilo haliwezekani hata. Natumai unaendelea vyema huku tukikuombea kwa mola akujalie wakati mwema huko kuliko. Natumai pia kazi yako yaendelea vyema.
Mgagaa na upwa hali wali mkavu. Methali hii ina maana kuwa mtu anayejikaza kisabuni hakosi alichokitarajia mtu anapojitahidi katika jambo fulani huwa anapata mazao yake baada ya muda mfupi tu au baada ya muda usiotarajia. Hutumiwa kuhimiza aidha mwanafunzi ilil kutia bidii katika masomo yake ili kufanikiwa.
Insha ya kumbumbu za mkutano wa pili wa mwaka.
Insha ya kumbukumbu za mkutano wa pili wa mwaka ambapo tutajadili ajenda zifutazao usajili wa wanachama wapya kuamrisha uzungumzaji wa kiswahili shulenina kongamano la kiswahili. Tarehe 7 Januari kuanzia saa nne jioni.
Waliohudhuria.
Bw. Morris Nzomo – Mwenyekiti.
BI. Grace fahari – Naibu wa mwenyekiti.
BI. Stacey mwende – Mwekahazia.
BI. Pius mwendwa – Katibu.
BW. Dennoh musyoki – mwanakamati.
Waliotuma udhuru.
BW. John mwanzi – Mwanachama.
BW. Patricia kimkungut – Mwanachama.
BW. Peter Nzoki – Mwanachama.
Waliokosa kuhudhuria.
BW. Noah joel – Mwanachama.
BI. Alice samson – mwanachama.
Katika mahudhuria.
Prof . Dennoh victor – Afisa katika wizara ya elimu shuleni.
AJENDA.
Usajili wa wanachama wapya.
Kuamazisha uzungumuzaji la kiswahili shuleni kongamano la kiswahili.
WASILISHO KUTOKA KWA MWENYEKITI.
Mkutano ulianza saa nne kwa maombi yalioongoza na BW. Dennoh musyoki. Mwenyekiti aliwakaribisha waliohudhuria na kuwashukuru kwa bidii walionyesha.
KUMB: 7: 2021 USAJILI WA MWANACHAMA WAPYA.
Katibu aliwafahamisha wanachama kuwa tuko na usajili wa wanachama wapya ambapo wenye walikuwa walieza kuenda kwao na kusema wanachama wachaguliwe wengine.
KUMB: 8: 2021 KUAMAZISHA UZUNGUMZAJI WA KISWAHILI SHULENI.
Wanachama wanakubaliana kuwa wanafunzi wakuwe wanazungumza lugha ya kitaifa ambayo ni kiswahili kwa sababu wamezoea kuongea kiingereza mpaka wakasahau kiswahili.
KUMB: 9: 2021 KONGAMANO LA KISWAHILI.
Wanachama wanaarisha wanafunzi wasikuwe wanaongea kiswahili kila siku lakini wanaeza tegewa siku moja tu maalumu ya kuongea kiswahili.
KUFUNGA MKUTANO.
Mkutano ulifungwa kwa maombi yaliyongozwa na BW. Pius mwendwa saa tisa jioni.
THIBITISHO.
Sahihi Tarehe.
Mwenyekiti : 7 Januari 2021
Katibu : 7 Januari 2021