Insha

Insha ya mahojiano Kati ya meneja wa kampuni na mtu anayeomba kazi.

Insha ya mahojiano kati ya meneja wa kampuni na mtu anayeomba kazi. Meneja: Karibu ndani. Hujamnbo? Mwajiriwa: Asante. Sijambo. Meneja: Unaitwa nani? Mwajiriwa: Hassan Ali. Meneja: Kutoka wapi? Mwajiriwa: Kutika muranga. Meneja: ( Huku akisimama) ningependa kukutembeza huku ili ukujue sawsawa. Mwajiriwa: (Akisimama kwa kutabasamu) anamuuliza meneja mengi kuhusu kampuni hiyo. Meneja: (Akiashiria) hapa ndipo …

Insha ya mahojiano Kati ya meneja wa kampuni na mtu anayeomba kazi. Read More »

Insha ya Hotuba ya mwalimu kwa wanafunzi.

Wanafunzi hamjambo?. Nina furahi sana kuona vile mlivyochangamka. siku hii ya leo ningependa tuzungumze juu ya vitu vitakavyotusaidia tufaulu maishani mwenu na pia kwa heshima yenu. Ninatarajia mniskize Kwa makini nataka kuwapa mawaidha machache kwanza. Ninawapongeza kwa bidii yenu mnavyotia katika masomo yenu. Tieni bidii vivyo hivyo msije mkajuta baadaye kwani, majuto ni jukumu huja …

Insha ya Hotuba ya mwalimu kwa wanafunzi. Read More »

pensive black man studying on street

Insha ya Dayolojia kuhusu ajali ya barabarani.

Insha ya Dayolojia kuhusu ajali barabarani.(Afisa mkuu was polisi was idara na mwanafunzi ofisini mwa walimu mkuu.). Afisa: Hujambo? Mimi: sijambo afisa. Afisa: Masomo yv.ako vipi?. Mimi: yako rahisi Kama kunya maji. Afisa: Hiyo ndio maisha jitahidi.Mimi: Asante.Afisa: katika Masomo najua mnafunza njia za kujikinga barabarani. Mimi: naanm Afisa: Kama zipi?. Mimi: kuendesha gari kwa …

Insha ya Dayolojia kuhusu ajali ya barabarani. Read More »

mfano wa insha

Mfano wa insha ya methali:kifo hakina huruma hata..

Mfano wa insha ya methali.Itakayosaidia wewe katika mtihani au masomo. Mfano wa insha ya methali ifuatayo .Below is an example or mfano wa insha ya methali: Anza kwa wingu kubwa jeusi lilitokea upande wa mashariki, baadaye matone mazito mazito. KIFO HAKINA HURUMA HATA CHEMBE. 1.page. Yalianza kunyesha. Ngurumo za radi zilihinika angani. Watoto walijawa na …

Mfano wa insha ya methali:kifo hakina huruma hata.. Read More »