10 Nyimbo za Ruby zilizo bora.
Moja ya wasanii wachanga wenye vipaji kutoka katika nchi bora za Afrika Mashariki kuzalisha muziki ni Ruby. Kujua kipaji chake tangu akiwa mdogo sana katika kanisa hadi kuanza kujihusisha na muziki wa kidunia ilikuwa hatua kubwa kwake kujipatia jina lake kama msanii. Mwaka 2014 ambapo ilikuwa mwaka wake wa bahati nzuri, alipata umaarufu alipotoa wimbo…