50 Nukuu za krismasi na mwezi mpya.
Mwezi huu ni muhimu sana kwa watoto na familia kuwa pamoja na kusherekea siku huu na wapendwa wenzetu na marfiki wetu wa dhati, wanaotujali sana. Zawadi pia unatumika kabla ya siku hiyo. Unaweza kuwa na roho nzuri sana kununukia wapendwa wako zawadi muhimu sana wataotumia kukumbuka. chini yako kuna Nukuu muhimu sana za krismasi unaweza waomyesha wenzako.