Insha ya Hotuba ya mwalimu kwa wanafunzi.
|

Insha ya Hotuba ya mwalimu kwa wanafunzi.

Wanafunzi hamjambo?. Nina furahi sana kuona vile mlivyochangamka. siku hii ya leo ningependa tuzungumze juu ya vitu vitakavyotusaidia tufaulu maishani mwenu na pia kwa heshima yenu. Ninatarajia mniskize Kwa makini nataka kuwapa mawaidha machache kwanza. Ninawapongeza kwa bidii yenu mnavyotia katika masomo yenu. Tieni bidii vivyo hivyo msije mkajuta baadaye kwani, majuto ni jukumu huja…