20 sms za kutongoza mpenziwe.

20 sms za kutongoza mpenziwe.

Je, utafanyaje kumtongoza mpenzi wako kutumia simu?, jibu shwari kabisa sana nikutumia maneno matamu ya mapenzi ila pia inahitaji ukarimu na mawazo kufanya mabo yawe zaidi kuendelea kuwa nzuri. Kuna maeneo mengi ya kujaribu kumtongoza mpenzi unayomjali. Ikiwa unashida ikikujat kutafuta usife moyo bali tuna sms au maneno yanaweza kuitumia kuonyesha una hisia za mtu…