Maneno 50 matamu ya mapenzi kwa mpendwa
Hasua kama huandiki sms kwa mpenziwe inaweza kuwa kosa usillolijua. Lakini usife moyo kwani tuna maneno kadha ya kuonyehsa kweli unajali mtu huyu. Unaweza pia kijitungia maneno kama hizi kwani si ngumu mno. Mapenzi ina utamu na inataka sana ituzwe hasa Wakati wowote ili penzi lenu yawe shwari.