Hadithi fupi – na Maagizo sifa na maana zao.

Hadithi fupi na maagizo sifa zao na maana zao.

Ni kazi ya kuzama inayoshisha masimulizi yenye mtiririko wa matukio na wakati kuhusu maisha ya binadamu.

stony coast near rippling river
Photo by Olga Lioncat on Pexels.com

Sifa za hadithi fupi.

1.   Huchukua kipindi kifupi.

2.    Fani – Muundo, matumizi ya lugha, misemo, nahau, methali na tamathali.

3.    Wahusika kwa wachahe na hawakazwi kikamilifu.

4.    Mandhari – Hufungika kwa kutumia mahali pamoja.

5.    Masimulizi huwa mepesi.

6.    Mgogoro hukuzwa mapema na kufikisha kingeleni hupasi.

7.    Huweza kusomeka katika kikao kimoja.

Maelekezo au maagizo.

–        Ni ushauri ambao unatolewa na mtu ili kuzingatia jambo fulani.

–         Humwezesha mtu kufanya jambo kwa njia inayofaa.

–         Hujitokea katika miktadha mbalimbali;

1.   Mwalimu kwa mwanafunzi.

2.    Mtainiwa katika mtihani.

3.    Daktari kwa mgonjwa.

Sifa za maagizo.

1.   Huwa na kichwa cha maagizo.

2.    Maagizo yafuatane kimantiki – kwa njia aagizo la kwanza hadi la mwisho.

3.    Kusiwe na maagizo ya ama, au yaweza kumkanganga anayepokea maagizo hayo.

4.    Unapotoa maagizo timia nambari kwa kila aagizo.

BLACK FRIDAY DEFACTO DEALS

Similar Posts