Hotuba ya mwalimu mkuu shuleni.

EVERYTHING ON JUMIA

Hotuba ya mwalimu mkuu shuleni.

Kwa naibu wangu, walimu wengine, washikadau waliopo, wazazi na wanafunzi, hamjambo? . kwanza namshukuru maulana kwa kutuwezesha kupatana papa hapa kwa ujumla. Shukrani zinginezo ni kwa wavyele wetu ambao wametoka katika kila upande inchini kenya kwa kuona kufika hapa kuwa jambo la busara sana.



Na wakaribisha nyote katika mkutano wetu wa leo. Leng la mkutano huu ni kusemezana kuhusu matokeo ya shule yetu. Walimu wenzetu wanaweza kuniunga mkono kwa kusema kuwa mwaka uliopita tuliweza kupata grdi ya chini ukilinganisha na miaka iliyopita tangu mwaka wa elfu mbili kumi na tatu.



Ilikuwa jambo la kustahahisha kupata kwa wanafunzi wawili tukio walioweza kupata nyadhifa za kujiunga na vyuo vikuu. Hapo awali ilikuwa historiayetu ya kuwasalisha wanafunzi kadhaa katika vyuo vikuu. Matokeo tuliyoyapata hatuwezi kuyakejeli kwani labda ndio mwanzo wa masomo kufika katika chuo hiki. Dhifa hii ya leo inapaswa kutupa changamoto sisi kama wanafunzi na walimu wenzangu. Hii ni jambo ambalo hatuwezi ficha kwani shabaha letu ni kuhakikisha wanafunzi wote wamepita katika masomo yao.



Nina mambo kadhaa ambayo ningetaka kuwahimiza ili tugoe kabla kuhakikisha juwa tumefikia gharadhi yetu ya kupita yanayofaa. Hayo ambayo ningetaka kusema tutayakidhi iwapo tutashirikiana walimu kwa wavyele na kwa wanafunzi pia.



Tukiangalia shule yetu mwaka uliopita iliweza kupata wanafunzi themanini na tisa huku mmoja akifanikiwa kupat gredi ya ‘B’ huku wawili tu wakifanikiwa kupata alama ya ‘c’ na yule mwingine ‘c’ . Hii ni dhihirisho kuwa wale wengine wote walianguka mtihani wao wa kitaifa.



Ni lazima kama hadi kuhakikisha kuwa kila mshikadau akiwepo mwalimu, mzazi na mwanafunzi kujitokea kwa fuadi sanifu na kufanya juu chini ili tuweze kufaulu katika safari hii. Simaanishi kuwa walimu watakuwa buka kwa wanafunzi hamna.

Tuliweza kuzungumza na wanabodi wetu kuhakifishiana kuwa tutabadilianza nyenzo kadhaa katika mambo yetu ya kila siku nawafahamu wanafunzi vyema kuwa wanaweza kujakejeli maono yet lakini baadaye yatawafaidi.



Badiliko la kwanza ni kuwa saa ya kusoma itaonyelewa kutoka saa tatu hadi saa nne. Kwa kufanya hivo, itaweza kuhakikisha kuwa wanafunzi wamepata wakati murwa zaidi hadi saa tatu wanafunzi wataweza kuwa na walimu ambao watakuwa darasani.



Asubuhi wanafunzi wataamka saa zile zile na kuhakikisha wote wako darasani na wanaendelea na masomo yao jambo lingine ni kwamba tumeweza kupata tetezi kadhaa kutoka kwa wanafunzi kuwa lugha rasmi haitumiki shuleni humu lakini nawaakikisha kuwa lugha rasmi itatumika toka saa hii huendelea.



Kwa walimu nao nawahimiza kujitolea na kujikaza kisabuni huku wanafunzi wakitilia visa vyao vikali katika masomo. Wazazi na jukumu lao ni kuhakikisha wanafunzi wanasoma wanapoenda likizoni. Kwa kufanya hayo yote , mwaka ujao tutaweza kushehere matokeo mema zaidi kwa hayo machache.



Similar Posts