Insha fupi ya mkasa wa moto kijijini

Mkasa wa moto kijijini.Ulikuwa usiku wa manane niliposkia usemi wa buka uliotoka kwa jirani kadri kilomita mbili kutoka nyumbani kwetu. Kweli nilikuwa katika gonezi ya ajabu kwani singeskia kitu chochote kile. Hii ilikuwa nadra sana kama maziwa ya kuku ama mizizi ya mawe. Bayana nilikuwa nimechoka kutokana na kazi niliyoifanya siku hiyo.Kwanza nilikejeli ujemi ule kwani nilidhani labda ilikuwa ndoto na kungojea kuusikia tena. Kutoka wakati ule nilikaa ange kusubiri chochote kile ambacho kingetendeka. Baada ya dakika kadhaa niliweza kugutushwa na sauti iliyosikika kama kipulizi kikubwa, sauti hiyo ilinipa fazaa moyoni nafi kwa nikashuka kitandani na kutafuta ala zangu china na china.Papo hapo nilifungua mlango wa kibaiti changu na kung’oa habta hadi mahali niliposikia. Sauti ile. Kiza nayo ilikua totoro kwani ungeona kichaka udhani ni mwizi au yeyote aliyetangulia mbele yako. Baada ya kutembea mita kadhaa niliweza kuona moto wa ajabu uliofatwa na moshi mweusi.Kweli, hii ilikuwa haiti ya mlala haiki jijini aliyejulikana kama mzee bakari kuona hayo. Nilichanua mbuga moja kwa moja hadi palepale, baada ya dakika kadhaa, nilikuwa katika mazingira ya mzee Bakari huku nikiwa nimechoka hoi bin tik. Wanakijiji wenzangu nao walikuwa washafika na kuanza kazi ya kuokoa mali iliyekuwepo katika jambo lilo lililokuwa ya kifahari kweli.Wenye pale walionekana wenye fazaa huku wakimlilia. Dayani kuwaokolea mali iliyokuwepo pale. Waliokuwepo pale wali hakikisha wamekidhi dhamira yao na kuuzima moto ule lakini labda ingwezekana.Wengine wao walionekana katika gharadhi kuu kwa kuona wale walionekana kuwa wazembe katika kazi ile dhifa haikuwa ya kupendeza hata kwani bui mmoja wa bwenyenye aliweza kufika pale na gari lake na kuwaita wazima moto ambao hawakukawia kula muda mrefu kwani baada ya dakika kadhaa walikuwa pole.

Walifanya juu chini lakini mazao yao hayakuonekana na kuita zima moto jingine ambalo liliweza kusaidia na muda mfupi tu, moto ule ulikuwa ushazimwa. Wengi walijihimidi kwani walidhan ni nguvu zao lakini kama ningekuwa nguvu zake manani, wangeweza kweli. Bayana moto ule ulikuwa wa buka kwani mali iliyookolewa pale ilikuwa thumni tu ya ile iliyokuwepo pale ndani kwa jumla.Wengi walianza kufitini kuwa aliyekuwa bwenyenye amebadilia na kuwa fukara ambaye hata hajiwezi kwa kina lakini yale hayakuwa ya msingi hata. Waliokuwa moto waliweza kukidhi na baadae kuelekea zao. Asadi mmoja katika familia ile aliweza kuwashukuru wote na kuwamiminia baraka kutoka kwa rabana.Hakuna yeyote aliyejeruhiwa katika ajali ile ya moto lakini swali lilibakia wazi , chenzo cha moto ule kilikuwa kipi?. Wengi walienda makwao bila jibu lakini niliweza kufuatilia kwa kina hadi kumfikia barabara mmoja aliyekuwambasi wangu wa dhati na kumwuuliza maswali kadha wa kadha. Machozi yali mlenga lenga kwani kisa kile kilimfazaa sana.Aliweza kunielezea kinaga ubanga kuwa moto ule uliweza kusababisha na gesi ya kupika ambalo liliwasha na mjakazi kisha baadaye akaenda kutafuta kiberiti jikoni. Lilikuwa jambo la kustaajabusha baada ya mjakazi kupata kiberiti na akawasha kiberiti kile bila kujua kuwa gesi yenyewe iliyoko mle ndani ilikuwa imeshajaa chumbani mle.Lilikuwa jambo la busara sana kwa kijakazi yule kujiokoa kwenye mikono ya kifo. Kweli swali ambalo lilisalia akilini mwangu ni kwani waliti ni hupenda nini? . Hii kauli ilinijia baada ya kusikia habari china na china kuwa mara moto hukuwa wa kawaida mara hii mara ile, kweli binadamu ana haki at hata labda akiwa maskini ama tajiri.

BLACK FRIDAY DEFACTO DEALS

Similar Posts

One Comment

Comments are closed.