Insha fupi ya ndoto isiyostajika

EVERYTHING ON JUMIA

Nilikuwa nimekwisha kujitajarisha kwenda kulala mlango ulipobishwa, nilishtuka na kuketi sakafuni ni kwaza nani aliyekuwa alibisha mlango saa saba unusu usiku.


Mtu huyo alibisha kwa nguvu huku akileta jina langu inijaribu kutambua sauti ila lakini wapi. Tulikuwa nyumbani na dada yangu na kaka yangu lakini wao walitwa washalala. Nilifikiria ni waamshe lakini sitawaamsha. Mlango uliendelea kubishwa na jina langu kuitwa.

Nilienda kuchungulia kattika dirisha cha chumba changu wamufunika nyuso zao na kubeba bunduki na visu mkononi. Nilishtuka na kutamani ardhi inimeze nikiwa mzima. Nilikimbia hadi chumbani mwa kaka yangu na kumwamsha na kumpa habari aliamka na kuenda kuchungulia naye alishikwa na butwaa na kuanza kumwambia mwenyezi mungu atusaidie.

Waliokuwa wakibisha mlango, moja wao aliweza kusema msipofunguwa alinishikilia mkono na tukaenda kulifunga jumba ambalo dada yetu mdogo alipokuwa akilala na kulificha kifungu hiko. Akaniambia anatupenda na niweze kumtunza dada yetu mdogo alipokuwa akilala na kulificha kifungu hicho. Akaniambia anatupenda na niweze kumfunza dada yetu mdogo na niwe msichana mzuri. Machozi yalininitiririka na uoga kuniingia.

Kaka yangu alienda akafunguwa mlango aliporudi ndani bunduki ikiwa kichwani mwake nami ni kwa nimejikunja na machozi kunitaka. Walimpiga nakumtupatupa kama takataka, nilifamani ni wauwe watu wao lakini wapi, nguvu ulikuwa umeniisha na miguu yangu kuganda.

Mwanaume mmoja aliyekuwa amevalia suti nyekundu na alikuwa mwanaume wa mwili mraba, alitisha sana aliweza kusema tumwonyeshe chumba cha wazazi wetu lakini akona aliyeongea. Walimkamata kaka yangu na kumweka viboko ili aweze kusema nilihurumisha na kusema kwa sauti ya kusitasita chumba cha tatu ukipanda juu.

Niligundua damu ni nzito kuliko maji. Nilimkimbilia kaka yangu na kumkamata. Alikuwa akitoka damu na kumkamata. Alikuwa akitoka damu na nguvu kumwisha. Wanaume wale walipoenda kuanagalia chumba hicho kilikuwa kimefungwa waliteremka kwa hasira na kunitupanisha huko meza kuniginga kichwa.

Walimkamata kaka na makofi nilijaribu kuwakataza wasimchape lakini wapi. Walisema kaka yangu aliwadanganya chumba hicho ijafungwa. Nilitaka kuwa onyesha kifungu lakini kaka yangu kasema ni ue basi lakini mali na pesa za wazazi wangu hamzipati. Kioti lilimfuata nami kushtuka na machozi kunitoka.

Kati ya hao majambazi moja alikuwa akisema tumalize watoto hawa na tubebe mali hizi, wote wakaamua hiyo. Niliwaomba lakini wapi walimwekelea kaka yangu nilishtuka na nduru na kujipata kitandani nikiwa nimetabawali na kujikunja kama konokono. Nilimwambia mungu na kuamka haraka haraka na kwenda kuoga na kimwelezea kaka yangu ndoto hiyo. Akasema nimwombe mwenyezi mungu na niwe nai mani. Mama yangu alishtuka paliposkia ndoto hiyo lakini waliniombea na tunimiza nisife moyo.

Similar Posts