Insha fupi ya wizi wa ghafla.

Nilikuwa nimekwisha kujitayarishya kuenda kulala mlango ulipobishwa kwa nguvu. Nilijawa na hofu na maswali…

Insha fupi ya wizi wa ghafla.

Nilikuwa nimekwisha kujitayarishya kuenda kulala mlango ulipobishwa kwa nguvu. Nilijawa na hofu na maswali mengi ya kuogofya yalijaaakilini mwangu. Kabla ya kuufungwa mlango, nilipiga magoti na nikaanza kuomba.

Baada ya kuomba, maswali fufutende yalijaa akilini mwangu. Niliwaza jinsi ya kufanya lakini wapi. Usingizi nao ulikuwa unanisumbua. Ghafla niliskia sauti nzito ikisema “ Fungua haraka! Ama niingie na huu mlango.” Nilijawa na hofu nyingi hadi nikaanza kutetemeka. Machozi yalinitiririka tiriri mashavuni. Mlango uliendelea kubishwa kwa nguvu.

Mwia si mwia, niliamua kufungua mlango. Niliposhika nilidodkwa na machozi do!do!do!. Nilijipa nguvu na nikafungua.nilipochungulia sikuamini macho yangu. Niliona pandikizi ya watu watatu. Hofu ilizidi kuongezeka. Waliingia ndani ya nyumba. Waliniambia nipige magoti nilitii sheria zao. Walioniuliza maswali chungu nzima. Waliomba nilipojibu moja, nitajua kilicho toa kanga mayoyo.

Pandikizi mmoja aliniuliza, “ wapi baba na mama?”. Nilisema kuwa walikuwa wameenda, kusalimia mjomba. Tena aliuliza “ Mbona wewe kaachwa?”, Nikasema, niliachwanilinde nyumba. Aliniuliza maswali hadi nikalia kwi kwi kwi sikujua la kufanya sababu nilikuwa na hisi usingizi.

Baada ya dakika chache , waliniambia niwape pesa zilizokuwa hapo nyumbani. Nilisema siwezi sababu wavyele wangu wange ni adhibu vibaya sana. Moja wao alisema, “ wewe kitoto unacheza na nani? Tuta kuua usipotupa hizo pesa.” Baada ya kusikia hayo, nilipukutwikwa na machozi.

Punde si punde, nilijipa nguvu na nikawaambia nitawapa badala ya kuwaletea nilipitia mlango wa nyuma na nikakimbia kwa jirani. Kulikuwa na giza totoro lakini nilijikaza ili nimpashie habari. Nilipofika kwa jirani nilimwamsha na nikampasha habari hizo. Alichukua silaha zake za vita haraka iwezekanavyo. Tuliandamana hadi kwetu. Tuliwapata hao wezi wamezubaa hapo tu. Jirani hakusema neno bali alipiga mayowe.

Wezi hao walitoka mbio. Kumbe walikuwa washaa chukua vitu kama redio, televisheni, viti , nguo za mama na sufuria. Tuliwaona walipokuwa wameficha, walizichukua lakini hawakufua dafu. Mbele yao waliona gari la askari. Hawakujua wafanye nini.

Askari waliwakamata na wakajua hiyo ndiyo iliyokuwa siku yao ya arubaini. Walirejesha walichokuwa wamebeba na wakalipa faini. Baada ya kurejesha walipelekwa gerezani.

BLACK FRIDAY DEFACTO DEALS

Similar Posts