Insha kuhusu Dawa za kulevya.

Katika jamii ya leo, kama binadamu akiwa mgonjwa tiba lake ni kuenda Kwa daktari na kupew dawa ili apone kwa ugonjwa alichopatikana nayo kwenye mwili yake. Na imekuwa nyakati zikiendelea kubadilika pia maisha ya watu hubadilika.

thermometer on medical pills
Photo by Pixabay on Pexels.com

Ikiwa pia kuna Dawa yenye tiba la magonjwa inaayoweza patikana miili zetu, pia kuna Dawa zisizo tumika vizuri na inakuwa sumu katika afya zetu. Ni hizi dawa yana jina inazojulikana leo na ni Dawa za kulevya.

Dawa za kulevya ni dawa za kemikali yanayobadilisha shughuli za mwili na akili ya mtu anayetumia kila siku au wakati. Lakini Dawa hizi tunayoongelea hapa ni Dawa zinazo hatarisha ya binadamu hasa akitumia kila saa ikileta mandhara yake.

Kama vile vile pombe. Pombe ikitumika vibaya au ovyo na binadamu mandhara yake inaweza kuwa hatarini katika afya ya binadamu. Mandhara kubwa ya pombe inaweza leta ni uharibifu wa ini, Matatizo ya moyo na pia yaweza kulet magonjwa ya kisukari.

Isitoshe pia Pombe yaweza vunja boma za watu au ki familia na inshawishi watoto kulelewa na tatizo kama hizi ya kuona mzazi au wazazi wao wakitumia kitu kama pombe.

Mfano ingine wa Dawa za kulevya ni yale yanatumika kujidunga nayo mwilini. Kama hizi ni cocaine, heroine na mengineyo inaleta mandhara mingi kwa mwili. Kama vile vile Cocaine kwa mfano ina haribu ubongo na uwezo nzuri wa kufikiri, Uharibifu ya mishipa ya damu na pia inaharibu figo la mwili wako.

sana Dawa kama hizi yanatumika sana sana na vijana huku inje kwa sababu mengi. Moja yao kubwa sana ni kuwa ni shinkizo la kijamii na rika. Pia katika sababu hili ni kutoka kwa mtandao tunayoona kwa televisheni na mtandao zi kijamii zikichangia sana.

Na ni muhimu sana Vijana wajue Mandhara ya Dawa kama hizi zinazo leta kifo na pia magonjwa mbali mbali kama saratani ambao ikipatikan baadae haina tiba. Kama Vijana wa leo na pia wa kesho ni vizuri wa elimike ndio Dawa kama hizi ukipatana nazo unai acha.

Na pia ni vizuri kuchukua za kuzuia matumizi na kuwasaidia wale walioathiriwa na dawa za kulevya.

Similar Posts