insha kuhusu mimea.

insha kuhusu mimea. Mimea imekuwa tegemzi kubwa sana katika inchi zetu, katika sekta ya kilimo ni muhimu sana kwani pia hulet inchi yeyote ile ipate faida zake. Swahili ni mimea nini, mimea ni moja kati ya makundi ya viumbe vingine ya uhai unaopatikana katika mazingira yetu.

Mimea inazunguka kila mahali tuendapo na pia ina muhimu zake kama vile, binadamu hutegemewa sana na binadamu na wanyama. Wanyama wanatumia mimea ili waishi vyema kama vile, twiga hula matawi za mimea ili iendele kuishi. Kwa wanyama mengine , hupata kivuli kutoka kwa jua ikiwa kali sana mno.
Kwa binadamu, mimea huwa kitu muhimu sana maishani. Binadamu amefanya utafiti sana kupata dawa kutoka kwa mimea toufauti kupata tiba ya magonjwa. Na pia usisahau kuwa mimea mengine ni chakula kwa bindamu ili aendele kuishi vyema kila siku.
Mimea pia husaidia kusfisha uchafu wa hewa, inayotoka kwenye Viwanda unaotolewa kwa hewa, inayotaharisha maisha binadamu na pia wanyama. Hii unaweza sababisha ugonjwa kama vile kansa. Na kwa hivy tukiwa na mimea na pia kuipanda insaidia kupiga hewa chafu uanopatikana kwenye mazingira.