Insha ya rafiki yangu.
Rafiki nini nani? rafiki ni mtu amabaye unashiriki naye ankuamini na kujali na pia mnaelewana. Insha kuhusu rafiki yangu. Karibu sana katika kurasanyetu ya middemb ambapo leo utaona insha kuhusu rafiki yangu. Hii itakusaidia kidogo uwe na fikra ya kuandika insha kama hili. Uwe na siku njema, nina imani utaipenda insha huu ifuatayo.
Read Also: Insha ya asiyeskia la mkuu huvunjika guu.

Insha ya rafiki yangu.
Jina la rafiki yangu ni Jesse. Jesse ako katika shuke ya upili ya Aga khan na ako katika kidato cha tatu. Miaka yake ni kunmi na saba, ni mrefu kidogo, rangi ya ngozi lake ni nyeupe pe pe pe. Akimaliz shule huu angependa kuendelea na masomo yake katika Chuo kikuu cha Riara huku Nairobi akitaka kuwa daktari.
Ikija kwa usafi, anjipenda sana. Sare zake za shule huivalia vizuri kwa vile anajulikana sana na walimu shuleni nzima kwa kuwa yeye ni kiranja wa Vyumba vya kulala ya wavulana sana san kushugulikia wanafunzi wa kidato cha tatu kuchunguza kesi, usafi na mazingira Ya Vyumba vya kulala.
Kuwa kiranja huwa hapati muda mwingi sana kwani yeye husoma na pia kufanya kazi yakuwa kiranja wa shule hili. Jesse ni mtu ana bidii sana katika masomo. Nambari yake sana ni ya pili akifanya bidii sana huwa wa kwanza. Kwa somo lake hufanya somo la dini, la kiingereza, la kiswahili, la hisabati, La kemia, La bayolojia, kibiashara na pia la historia ambalo historia analipenda sana.
Jambo lililofanya sana jesse kufanya somo la biashara anatamani kujaribu kuwa na Mawazo yatayosaidia uchumi yetu ya kenya iwe ya kuboresha. Yani kusema pia anahisi kuwa mfanya biashara ijapo kazi ikiwa haiko anaweza kujaribu wazo huu kama itafaulu.
Nakumbuka siku tulipatana na jesse. Ilikuwa Kidato cha kwanza ambapo aliniuliza jina langu na mpia kupata jina lake ukaaza fungu mpya ya urafiki. Tangu hio siku tumekuwa tukisaidiana na kuongea na kufanya jambo mengine yanayotufurahisha tukiwa na saa. Mimi na yeye urafiki yetu imekuwa kama chanda na pete, na simwoni kama rafiki tu lakini kama ndugu yangu.
Jesse kwa darasa ni makini sana. Si kama mimi fikra zangu yaweza kuwa mbali. Anatabia nzuri na kusikiliza wazazi wake na pia wazee. Anaheshimu kila mtu uwe mkubwa ama mdogo yeye ana heshima. Jesse ni mtu anaweza kulelekeza na kuelewa ukiwa na shida lolote.
Talanta yake ni kuogelea kwa maji, Kupiga densi na pia kuimba. Ikifika kuimba sana sana huifanyika masa zake za kanisa akiwa pia yeye ni mwimbaji wa kundi fulani ya kanisa. Haya mengine tunafanya na yeye tukiwa na muda wetu. Ninamwomea kila siku mungu amlinde katika.
Nina mengi ya kusema kuhusu rafiki yangu Jesse lakini haya tu ndio naweza sema. Ukitaka kuwa na rafiki ambaye ni makini, anayekujali, kukuamini na kukusaidia tafuta juu chini upate rafiki kama Jesse. Usisahau pia uzingatie hayo kwa rafiki yako umpendao. Kwa kweli rafiki yangu wa kufa kupona ni Jesse.
